Hivi vibwengo kweli vipo?

MziziMkavu je kuhusu kiongozi wao kuwa na kitambaa chekundu ambacho ukikipata unatajirika umewahisikia,iringa kilitafutwa sana na wazee wetu makaburi ya askofu ngalalekumutwa
 
Maeneo ya shule yana matumizi mengi, mchana tunafanya masomo usiku wanga wanafunzi wanakuja kupiga practicals.
 

Hahahahaha jamaa muongo we duuuu
 
Nimegoma kumwimbia kibwengo, hii ilitokea takribani miaka miwili iliyopita nikiwa ufukweni mwa bahari ya hindi maeneo ya ununio, nilikuwa naishi huko, hivyo nilikuwa na kila uhuru wa kukaa baharini hadi saa mbili usiku, na hasa wakati wa mbalamwezi na maeneo yale yenye baa za ufukweni.
Siku moja nikiwa pembeni peke yangu japo sikuwa mbali na baa niliona mtu mfupi, akitokea gizani, mwenye kichwa kikubwa na amevaa kanzu nyeusinyeusi, nilistuka na kabla sijakimbia akawa amefika usawa wangu na ghafula alinipita na akapotea.
Tangu siku hiyo huyo kibwengo ameniletea mikosi kwenye shughuli za kiuchumi, kwenye mahusiano na mengineyo. Nilipoona nilipeleke hili kwa wataalamu , mtaalamu mmoja alinifundisha mwimbo wa kuimba ili kumfukuza huyo kibwengo! Nimegoma kumuimbia kibwengo huyo! Wacha nifuatilie maombi tu!
Je vibwengo ni majini kamili ama ni wakojewakoje, wadau,
 
Basi huyo Kibwengo hana tofauti na Sizonje anaependa na kutaka kila siku aimbiwe mapambio na kuwekwa front pages kwa wino mwingi.
 
Kwahiyo mkuu unataka kumaanisha kwamba inawezekana hum JF vile watu hatuonani hatujuani kunaweza pakawa na viumbe kama hawa? maana huku JF hatuonani. ikumbukwe majini na mashetani wanao uwezo wakuandika.
 
daaahh nimecheka balaa watu MNA vituko sana
 
Hahahahah Jf Raha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah, ayseee

Jf Safi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi viumbe vilikuwepo lakini kadiri muda unavyozidi kusonga vinapotea

Jr[emoji769]
 
Ukishtuka lazima mavi ya gonge chupi

wali nazi maharage nazi
 
Hata milambo sec wanasema vipo vingi pale ila tabora boys na umoja sec shwari tu
Nakukumbusha UMOJA sekondari vilikuwa vinaiitwa NJUMANJU,nakumbuka wanafunzi walikuwa wakisimulia kuhusu kuona manjumanju, lakini mimi sikuwahi kuona pamoja na kujitahidi kuamka usiku na kutoka nje.Nadhani zilikuwa stori za kutishana tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…