Hivi viazi vinaitwaje?

Kukurupuka nini sasa, ndio leo nakusikia wewe kuwa viazi vikuu vinachimbwa chini?

We kwa mtazamo wako vinaitwaje hivyo viazi?
Mwalimu wako alikuwa na shida sana. Kabla ya mkurupuko wako mimi nimestate humu kuwa viazi vikuu vinachimbwa chini?
Hata hivyo ni ndivyo ilivyo.
Humu hatuendi kwa mitazamo kama facts zinawezekana ndio maana mdau mmoja keshatoa jibu sahihi lakini kwa sababu ya uvivu wako bado unabwatabwata huku kulazimisha "jina la mtazamo wako".
 
Kiswahili ni Ndunyasa...,
English air yam or air potato
Scientific name ni Dioscorea bulbifera
Mmea wa hivi unabeba juu (air yam?), pia unabeba chini kama viazi vikuu ila inakua na mizizi mizizi. Vinaitwaje vya chini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…