Hivi utakuwa na team ngapi?

Hivi utakuwa na team ngapi?

hivi bunge linaisha lini?!?!?! unajua silali mie usiku, mapacha wanamtaka baba yao!!! rudi bana!!! mtu mwenyewe unasinzia tu bungeni!!!

Hunie pie wangu natamani na wewe tungekuwa wote hapa bunge la masika tubunye hela zetu walala hoi.. Nimekumicije mai wafu wangu kamba ya roho yangu..
 
eleweka basi wewe honeyto wa nani bana!!

huoni ruttashoblwa anaku-loveee!!?

shida iko wapi kwani................mwenyewe alojaza nafasi anajijua. sijui kwa nini wewe huelewi?!?!?

Palomaaaaaaaaaaaaa!!!!! excel missed youuuuuuuuuuuu!!!!!

kwanini unapotea potea kama umeme wa tanesko bana?

sometimes uwe unasema lini unakuwa kwa hewa bana!!

nipo sana tu mwenzako nalea mapacha wako tumboni bado..........sema wakiniamulia sifurukuti ng'oo
 
shida iko wapi kwani................mwenyewe alojaza nafasi anajijua. sijui kwa nini wewe huelewi?!?!?



nipo sana tu mwenzako nalea mapacha wako tumboni bado..........sema wakiniamulia sifurukuti ng'oo

niko tu interested kujua aliyerutubisha hao twins! sosoliso mbeba vyuma ama Ruttashobolwa mwana sheria?
 
Last edited by a moderator:
sasa rafiki mbona unaleta majanga hapa
waambie chemba watu wako, sisi
huku ni watu wa peace & love
hivyo hatunaga vikao na mateam mengine


Ila chairman to chairman sini ruhusa kubadilishana mawazo? Kwanza watu wa #teambazazi inabidi wapewe premium membership as chairman wa #teambazazi nawaombea watu wangu hasa huyu Secretary General Asprin
 
Back
Top Bottom