Ukimwi ugonjwa rafiki. Piga vita kansa presha na kisukari. Usisahau, malaria haikubaliki!!!!!!
Ila chairman to chairman sini ruhusa kubadilishana mawazo? Kwanza watu wa #teambazazi inabidi wapewe premium membership as chairman wa #teambazazi nawaombea watu wangu hasa huyu Secretary General Asprin
Asilimia mia ya team rafiki wana upungufu wa nguvu za kingono. Tuwasaidieni tafazali. Ukiona kidume kina urafiki wa kaka na dada na vibinti mtaani ujue habari imefikia muhtasari baada ya habari kamili.
Bazazis ze great!!!
Aiseeeee Babu Asprin una vituko sana. Umeshapiga Govindar Kumar nini?Asilimia mia ya team rafiki wana upungufu wa nguvu za kingono. Tuwasaidieni tafazali. Ukiona kidume kina urafiki wa kaka na dada na vibinti mtaani ujue habari imefikia muhtasari baada ya habari kamili.
Bazazis ze great!!!
Aiseeeee Babu Asprin una vituko sana. Umeshapiga Govindar Kumar nini?
Daaa jf raha tupu
Mmmmmmmh !!!!!
Asilimia mia ya team rafiki
wana upungufu wa nguvu za kingono. Tuwasaidieni tafazali. Ukiona kidume
kina urafiki wa kaka na dada na vibinti mtaani ujue habari imefikia
muhtasari baada ya habari kamili.
Bazazis ze great!!!
Nzuri mwallu et lukomolo ndo nini
ni aina ya limbwata..ambayo ukiwekewa,hata ufumanie kila siku huachi