Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Inategemea coz kila timu ina mpira wake na inawezekana kuwa na timu zaidi ya moja.
Unapenda team gani?
Inategemea coz kila timu ina mpira wake na inawezekana kuwa na timu zaidi ya moja.
Sikumuona aise..nahisi ndiye alitoa utambulisho fake
mi nilienda ya mwaka jana ya jana ilinishinda nilikuwa nimetingwa si unajua jana ilikuwa women`s day!!! anyway hope ulienjoyAsante.Sikuwahi kwenda hiyo event so jana niliamua niende nione huwa panakuwaje.
hahaha pole mkuu alikuwa meza yetu pale,bora lakini hukumuona ili uendelee kumtamni hivyo hivyo wenye bahati zetu tulibahatika
wewe na Heaven on Earth ni waarabu wapemba nyie ngija niwaache.
mi nilienda ya mwaka jana ya jana ilinishinda nilikuwa nimetingwa si unajua jana ilikuwa women`s day!!! anyway hope ulienjoy
Ndo ipi hiyo?
Team R
wewe na Heaven on Earth ni waarabu wapemba nyie ngija niwaache.
utani gani huo wakati unasema unaondoka na kipand cha mwili cha Heaven on Earth kutoka kwenye kiuno kuja chini kwinngine hukjakuona mpk uchukue kuanzia kuiunoni kwa nini usingechagua kichwani??
Women's day na wewe wapi na wapi!? Yeah niliinjoy mkuu.
ukiambiwa wewe ni #teambazazi unabisha sasa Heaven on Earth wewe wa kazi gani wakati unaye miss neddy wako??
hahaa bazazi at work hujui kuwa Excel ni penda penda hata miss neddy analijua hili.........
habari ya jumapili excel
Ya sebuleni nakuruhusu umwambie baby wangu wa chalinze.