HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,146
kwa hisani ya maneno yako hapa chinibalaa gani tena rafiki? fafanua
Inanishangaza sana sielew kwanini watu wanajichanganya sana
yaaini mtu huyo huyo anagombewa na watu double double
halafu huyo huyo naye anajichanganya kwa lugha laini kwa
wote bila ya wao kujijijua halafu anasema amewin kumbe
hajawini chochote ndo kwanza anajipalia mkaa kwenye mkoka
Wewe kwanini unakluwa TEAM mbili kwanini usichague mmojawapo