Hivi utakuwa na team ngapi?

Hivi utakuwa na team ngapi?

hivi we ndo kepitein wa timu ile ingine?
mechi lini?!?

nakushauri tu badilisha aidii
Ahaaa tena kweli ile mechi tunatafuta wadhamini ila itachezwa tu vipi unataka upangwe katika first eleven nini??Au nibadiri Aidii Kama walivyofanya akina naniriyuu!Jirani zako wazamani!!
 
me likes you muchly Excel
ila hivyo avatar............mhhhh............brings about mixed feelings!!!!

nimeitoa basi paloma mamii!! usije ukalivua pendo la likes bure! lol!

cheki mhindi huo!
 
Ahaaa tena kweli ile mechi tunatafuta wadhamini ila itachezwa tu vipi unataka upangwe katika first eleven nini??Au nibadiri Aidii Kama walivyofanya akina naniriyuu!Jirani zako wazamani!!

makubwa!!!

mie bwana sina timu hapa!timu yangu bado sijaiona humu!!!
 
Je unahitaji kujiunga kweny hii timu yetu teamrafiki?
karibu na anza sasa kujaza fomu hii hapa chini kwa uangalifu

JF TEAMRAFIKI FORM.jpg
Nitakaribishwa na nani??tuanzie hapa!
 
usichoelewa kitu gani rafiki
kama unataka kujiunga kwenye
teamrafiki unakaribishwa ondoa shaka
teamrafiki ni ya peace & love,
mshikamano, kujaliana, kuchukuliana mzigo
etc etc etc etc


Mimi sijaelewa kitu hapa
 
Back
Top Bottom