Hivi utakuwa na team ngapi?

Hivi utakuwa na team ngapi?

bora umeliona hilo mm nawashangaa sana
wanataka kuharibu teamrafiki yetu
hawajui ni jinsi gani tulivyoangaika
mpaka ikawepo, na mbinu gani tulifanya
mpaka ikawa kuubwa kiasi hichi
WATUPISHE SISI NI WATU WA UPENDO,
WENYE UKARIMU NA WENYE KUJITOA
Ila chairman to chairman sini ruhusa kubadilishana mawazo? Kwanza watu wa #teambazazi inabidi wapewe premium membership as chairman wa #teambazazi nawaombea watu wangu hasa huyu Secretary General Asprin
 
Last edited by a moderator:
Namuomba Mndengereko, Mr Rocky, Ntuzu, mwallu, Tized waje kuona kazi nzuri inayofanywa na binti huyu Lady niece

nimekuja mkuu naona balozi Lady niece anafanya kazi yake kama inavyotkiwa nampa hongera zake.
back to the topic huwezi kuwa na #team mbili hatuhitsji mtu wmwenye kigelegel ambae haeleweki huwezi kuwa unampenda mungu at the same time unampenda shetani.chagua kumprnda mungu chagua #team rafiki njia sahihi ya kuwepo kila mwana jf ay NNOOOOOOOOOOO to ubazazi
 
Last edited by a moderator:
Cc Mndengereko,, utafiti, Tized,, Ntuzu

Kuna mtu kaomba uanachama hajajibiwa,anaitwa mkiva

mkuu mkiva kama uliomba uanachama na haukupewa basi itakuwa form yako ya maombi hatukuiona maana siku ya ufunguzi wa hii [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamrafiki]#teamrafiki [/URL] MAOMBI YALIKUWA MENGI SANA so karibu sana [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamrafiki]#teamrafiki [/URL] uwepo wa hii team malengo yake ni kusaidiana katika ushauri na kudumuisha urafiki wetu kama member wa jf kuwa karibu zaidi na kukumbushana kutenda meme kama vile kukemea kwa nguvu zote tabia za kibazazi na kuchepuka kutoka katika njia kuu kwani ni hatari kwa afya zetu so karibu kundini na ujisikie upo nyumbani
 
Last edited by a moderator:
ukiambiwa wewe ni #teambazazi unabisha sasa Heaven on Earth wewe wa kazi gani wakati unaye miss neddy wako??

yani ww umechomoka gesti ghafla unakuja kuwasema watu? jana ilikuwa siku ya wanawake JF, ww hata ua kwa miss neddy wala heaven on earth hukutoa, sasa wenzio wana show love na utani kibao unaanza kutoa povu?

loh! miss neddy ni wangu, katulia tuli kama anapigwa picha ya paspoti!!!!!!!!!!!!!!!

babu Asprin na Heaven on Earth ni majirani zangu mtaa wa pili, tusitaniane kisa wewe upo? aaargh!
 
Last edited by a moderator:
Inategemea coz kila timu ina mpira wake na inawezekana kuwa na timu zaidi ya moja.
 
yani ww umechomoka gesti ghafla unakuja kuwasema watu? jana ilikuwa siku ya wanawake JF, ww hata ua kwa miss neddy wala heaven on earth hukutoa, sasa wenzio wana show love na utani kibao unaanza kutoa povu?

loh! miss neddy ni wangu, katulia tuli kama anapigwa picha ya paspoti!!!!!!!!!!!!!!!

babu Asprin na Heaven on Earth ni majirani zangu mtaa wa pili, tusitaniane kisa wewe upo? aaargh!

utani gani huo wakati unasema unaondoka na kipand cha mwili cha Heaven on Earth kutoka kwenye kiuno kuja chini kwinngine hukjakuona mpk uchukue kuanzia kuiunoni kwa nini usingechagua kichwani??
 
Last edited by a moderator:
utani gani huo wakati unasema unaondoka na kipand cha mwili cha Heaven on Earth kutoka kwenye kiuno kuja chini kwinngine hukjakuona mpk uchukue kuanzia kuiunoni kwa nini usingechagua kichwani??

kwa hiyo wewe ulitaka utufundishe kutaniana?

kijana kwanza huna heshima, kwanini hujatoa salamu kwa babu Asprin? eenh?

are you under the influence of alcohol?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu si kwema kabisaa..ndiyo nashtuka kumbe nililala kwenye kajukwaa hapa Kijitonyama Postal Grounds.
nilijua tu maana ulivyokuwa kimya nikajua tu itakuwa kuna kitu kimekukumba sio bure,anyway pole na starehe.za dunianii
 
kwa hiyo wewe ulitaka utufundishe kutaniana?

kijana kwanza huna heshima, kwanini hujatoa salamu kwa babu Asprin? eenh?

are you under the influence of alcohol?

babu Asprin shikamoom,usibadilishe mada nawafundisha kutaniana kistaarabu matani gani hayo hukuona matani mengine yote. mpk hayyo!! i(hihhih)i....
 
Last edited by a moderator:
nilijua tu maana ulivyokuwa kimya nikajua tu itakuwa kuna kitu kimekukumba sio bure,anyway pole na starehe.za dunianii


Asante.Sikuwahi kwenda hiyo event so jana niliamua niende nione huwa panakuwaje.
 
babu Asprin shikamoom,usibadilishe mada nawafundisha kutaniana kistaarabu matani gani hayo hukuona matani mengine yote. mpk hayyo!! i(hihhih)i....

kijana unajua kuna wakati lazima uwe Romantic kwa majirani zako hasa wa kike ili kupunguza kurogwa...!

si unajua mjini hawachelewi kukundondocha?

sasa hilo zoezi nilikuwa nalifanya na kijana wa zamani, papaa Asprin!
 
Last edited by a moderator:
kijana unajua kuna wakati lazima uwe Romantic kwa majirani zako hasa wa kike ili kupunguza kurogwa...!

si unajua mjini hawachelewi kukundondocha?

sasa hilo zoezi nilikuwa nalifanya na kijana wa zamani, papaa Asprin!

wewe na Heaven on Earth ni waarabu wapemba nyie ngija niwaache.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom