Hivi utaacha lini hiyo.................

Tabia ya kuongea huku unakula bana utapaliwa....
 
..........kuacha kifua waz iliuwabambe waume wa wa2 kila kukicha unachange style hata siku moja husahau?siyo ishu .......
 
Tabia yako ya kukameruni watoto wa watu wakati wenye proffesional zao wapo
 
.........tabia ya kuishabikia C.C.M wakati wewe ni kijana na ume-elimika?
Tabia ya kuishabikia chadema na unajua fika ni chama cha kiukoo/kikabila na cha udini? Nalog off
 
....tabia ya kumkaribisha mtu msosi wakati unajua chakula ulijipima wewe tu halafu akianza kula,unaumia rohoni?
 
Tabia ya kufumba macho ukiwa unanyonya denda
 
Acha tabia ya kujichungulia ukiwa unaoga kubwa zima hovyoo.nukta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…