Hivi ungefanyaje

Hivi ungefanyaje

Unampenzi wako mmeaminiana mkapeana ufunguo wako wanyumba sasa kuna siku hajakitaarifu kakununulia gari kaona aje akusuprise . Kufungua mlango akakukuta nyumbani na mwanamke mwingine mkiwa katikati ya mahaba yenu.

Na hakuja mwenyewe alikuja na familia yako na marafiki hii ingekuwa wewe ungefanyaje??
Huyo uliyekutwa naye hana hela wala juhudi yeyote umemlipa ili upige shoo. Huyo aliyekufumania ndio alikuwa wakwako wa matarajio ya mbeleni
Bado unatazama bongo movie mpaka leo?
 
Naruka uchi toka kitandani naenda kumchukua yeye na kumvua nguo nimalizie shoo atanielewa tu. Mwanamke gani asiyetaka shoo ya kiukweli, muulizeni hata Lulu Diva anayebaka vikaroti na matunda kati ya shoo ya kiukweli na kubaka hayo matunda atachagua nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom