Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 40,783
- 118,816
Bado unatazama bongo movie mpaka leo?Unampenzi wako mmeaminiana mkapeana ufunguo wako wanyumba sasa kuna siku hajakitaarifu kakununulia gari kaona aje akusuprise . Kufungua mlango akakukuta nyumbani na mwanamke mwingine mkiwa katikati ya mahaba yenu.
Na hakuja mwenyewe alikuja na familia yako na marafiki hii ingekuwa wewe ungefanyaje??
Huyo uliyekutwa naye hana hela wala juhudi yeyote umemlipa ili upige shoo. Huyo aliyekufumania ndio alikuwa wakwako wa matarajio ya mbeleni
ETi eh hayaBabe, wewe unafahamu fika mimi siwezi kuku cheat! Watoto wadogo wa 2000 ndiyo wana hizo mambo.
Hii ni hapa hapa bongo kwamba kuna wanawake mnanunulia wapenzi wenu magari?
Madhara ya kulala mchana hayaStop idiotic imagination
Watoto hawa bwana.Madhara ya kulala mchana haya
Naruka uchi toka kitandani naenda kumchukua yeye na kumvua nguo nimalizie shoo atanielewa tu. Mwanamke gani asiyetaka shoo ya kiukweli, muulizeni hata Lulu Diva anayebaka vikaroti na matunda kati ya shoo ya kiukweli na kubaka hayo matunda atachagua nini?Unampenzi wako mmeaminiana mkapeana ufunguo wako wanyumba sasa kuna siku hajakitaarifu kakununulia gari kaona aje akusuprise . Kufungua mlango akakukuta nyumbani na mwanamke mwingine mkiwa katikati ya mahaba yenu.
Na hakuja mwenyewe alikuja na familia yako na marafiki hii ingekuwa wewe ungefanyaje??
Huyo uliyekutwa naye hana hela wala juhudi yeyote umemlipa ili upige shoo. Huyo aliyekufumania ndio alikuwa wakwako wa matarajio ya mbeleni
Sasa kama mama yako ni mwizi ndani ya CCM (Mama Kizigha) na una hela za kuchezea tu, utafanyaje?Hii ni hapa hapa bongo kwamba kuna wanawake mnanunulia wapenzi wenu magari?
😁😁😁 hawa ndiyo hao hao watoto wa kina Sasha, Anjela, Mombo nkSasa kama mama yako ni mwizi ndani ya CCM (Mama Kizigha) na una hela za kuchezea tu, utafanyaje?
Okay mkuu, hongera kwa kuyapatia.... Subiria siku upewe helkopta 😁😁😁Kama ameweza kidogo hata vikubwa ataweza
Ajabu hiiHii ni hapa hapa bongo kwamba kuna wanawake mnanunulia wapenzi wenu magari?
Unahitaji gani nikupe ukaringishie kijijiniNachukua gari kwanguvu
NipeUnahitaji gani nikupe ukaringishie kijijini
Huo ni uwekezaji sio zawadiWapo mkuu..., Mbona mchepuko wangu alininunulia suruali ya kadeti wiki iliyopita?
Nigerian movieHii ni movie gani?
Hata mimi naonaNigerian movie