Elections 2010 Hivi Unazo sababu za kukishabikia Chama Chochote TZ? Kama zipo zielezee tuzipime hapa

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Jan 7, 2009
1,232
442
Najiuliza mpaka Leo niwe mwanachama wa chama kipi cha Siasa kwa7bu zipi? Chama tawala mpaka Leo kina nini hasa cha kunishawishi, au Upinzani kuna Tumaini Jipya??
 
hakuna watu wabaya kama mashabiki wa vyama,mimi si mshabiki wa chama chochote mimi ni mzalendo wa nchi yangu tanganyika na chama ninachiweza kukichagua(si ushabiki) ni hiki.
1.chenye wazalendo halisi(viongozi)
2.kinachoweza kulinda rasilimali za nchi hii.
3.kinachtaka kuongoza na si kutawala.
4.kinachochukizwa na ufisadi.
5.kisichokumbatia wageni.
6.kisichokumbatia wafanyabiashara wakubwa.
7.kinachoguswa na vijana kukosa ajira.
8.kinachozingatia miiko ya uongozi.
9.kinachoweza kuunda serikali inayolingana na mapato ya serikali.
10.kitakachosimamia haki za wananchi wake.
chunguza vyama vyote sijui kama unaweza kupata chenye sifa zote ila ccm haina swifa hata moja hapo.
 
Back
Top Bottom