Hivi unawezaje kukataa ombi la uchumba bila kumvunja moyo sana mwenzio?

Jina: Lily Mahaba
Umri: 20
Tunaweza kuanzia kwenye jina, huenda tukapata maana nzuri zaid na uelewa wa huyu mtoa mada...
Unamalengo na shule na future yako af still umeweza kutambua nn maana ya mahaba hadi kujipa jina la mahaba au mzazi wako anaitwa mahaba???
 
hapo ndipo mnapokosea wanawake hamjiamini.mnataka usiku na mchana hamtaki kusumbuka sababu ya udangaji wenu!!naapia kweli nimeishi sehemu nyingi lakini wanawake wa bongo nimewavulia chupi!!hata awe amechumbiwa na mo dewji we ukija kumtaka utampata na pete utamvalisha.mamaeee zenu mlaaniwe nyauuu nyiee
 
Jina: Lily Mahaba
Umri: 20
Tunaweza kuanzia kwenye jina, huenda tukapata maana nzuri zaid na uelewa wa huyu mtoa mada...
Unamalengo na shule na future yako af still umeweza kutambua nn maana ya mahaba hadi kujipa jina la mahaba au mzazi wako anaitwa mahaba???
Mahaba Ni Surname yangu.
 
Hahaha Mimi sitakuja vaa chupi aiseeh kipindi nipo yankiii nilikua navaaa ikanipindisha mashine mpaka Leo imeeelekea kushoto
Wanaume wengi tuna ugonjwa huo ni just Hali
Na si ugonjwa wenye kudhuru
Wengi mashine Zetu ziko uelekeo wa kushoto
 
hapo yupo ye yupo sahihii kuomba kukuoa umri unaruhusu,ila wewe ndo bado hujakua kama humpemdi mwambie tu wazi,kama unampenda na unatamani kuishi nae kama mke na mume pia mweleze na umwambie mipango yako kwamba haujawa tayari kuingia kwenye ndoa kwasababu hizi na hizi, angalau ungekua na 23 ningekushauri olewa tu .
 
Back
Top Bottom