Ki uhalisia, si sahihi kwa mwanaume kuishi na mwanamke mmoja. Kitabia, tupo kama wanyama, angalia mfano wa dume moja la simba linakuwa na majike mangapi..!? Au ukitaka kufuga kuku, ratio yake ipoje. Yaani Majike ni wangapi na madume ni mangapiMwanaume hataki kutoa talaka
Kushitaki hapo unaweza kwenda kusemaje sasa kuwa anabakwa na mume wake sheria inazungumziaje kuhusu ubakaji labda tuanzie hapoMwambie amshtaki tu.Kashindwa kuongea naye kwa kina na maelewano?Walilazimishwa kuoana?
NB:Muoane mme na mke wenye kuelewana na urafiki uwepo.Laa sivyo mtaishia kwenye aibu tu.
Mbona kama ndio wewe mhanga
Unataka kumaanisha nn😃Ki uhalisia, si sahihi kwa mwanaume kuishi na mwanamke mmoja. Kitabia, tupo kama wanyama, angalia mfano wa dume moja la simba linakuwa na majike mangapi..!? Au ukitaka kufuga kuku, ratio yake ipoje. Yaani Majike ni wangapi na madume ni mangapi
Atachagua maneno hukohuko akifika.Kushitaki hapo unaweza kwenda kusemaje sasa kuwa anabakwa na mume wake sheria inazungumziaje kuhusu ubakaji labda tuanzie hapo
Akasema kuna kipindi anakuwa labda anaumwa au anajisikia vibaya, mume wake akimtaka na akimwambia hapana, basi mume huyo huwa anamkamata kwa nguvu na kumwingilia kwa nguvu
Si sahihi kwa Mwanamume kuwa na mke mmoja. Ni kosa ambalo utaishi unajuta, unafki na mambo kama hayo, mfano wangekuwa watatu au wanne, kusingekuwa na mashtaka ya kipuuzi kama hayoUnataka kumaanisha nn😃
Kwani mtu akisema Leo sipo vizury we unakamata na kumwingilia kwa nguvu huyu si mkeo mtu akiwa hayupo sawa si unaweza kujua au ni kutumia nguvu tuukiona kila siku unaambiwa naumwa....najisikia vibaya...nimechoka....huyo hana hamu na wewe, kwa kifupi......Unachapiwa!!
Swadta kwa Muslim its OK but for Christian haiwezekani mkuuSi sahihi kwa Mwanamume kuwa na mke mmoja. Ni kosa ambalo utaishi unajuta, unafki na mambo kama hayo, mfano wangekuwa watatu au wanne, kusingekuwa na mashtaka ya kipuuzi kama hayo