Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,082
- 61,997
Kama atakuwa ananukia vizuri maeneo yote,hakuna shida...nadhani anaweza kuwa mtamu zaidi kwenye yale mambo
Hahahahahahaha,Daa umeniweza [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji106]
Kama atakuwa ananukia vizuri maeneo yote,hakuna shida...nadhani anaweza kuwa mtamu zaidi kwenye yale mambo
Watu mna shiida kweli kweli. Kwetu wanasema; Tembo hula majani yenye miiba mingi sana kiasi kwamba, ukikanyaga kinysi cha tembo ukiwa mbioni waweza patwa na kilema kwa miiba yake. Jiulize, huyo aliyekitoa hicho kinyesi (Tembo) kilitokaje? Mbona hakikutoka na damu?Si angeacha hata kidole kimoja kwa ajili ya kutawadha...... sasa anatawazaje na hiyo mijikucha na anasafishaje papuchi akichororooo
ha ha ha kama ni hivyo huo urembo hauna tijaThubutu hata kukushika kiuno au mbanano hawezi labda mchezage madogi daily na atashika wapi anyway?
ha ha ha kama ni hivyo huo urembo hauna tija
[emoji41]usikute hata hapendag chooni.Sasa anavyojisafisha Mkuu unataka awe anajirekodi, bilashaka atakuwa mtu mzima mwenye akili timamu
na atakuwa na njia yake ambayo anaitumia kujisafisha si kweli kwamba kwa sababu ya kuweka hizo kucha atakuwa hajisafishi
Makucha yanaingiaje kwenye kujitawaza waga unajitawaza au unajitia vidole?na makucha hayo unajitawazaje
unataka kujifananishana tembo si ndio.....Watu mna shiida kweli kweli. Kwetu wanasema; Tembo hula majani yenye miiba mingi sana kiasi kwamba, ukikanyaga kinysi cha tembo ukiwa mbioni waweza patwa na kilema kwa miiba yake. Jiulize, huyo aliyekitoa hicho kinyesi (Tembo) kilitokaje? Mbona hakikutoka na damu?
Usiulize tu kuwa ati; Anatawazaje??!! Nenda mtafute mmoja halafu uzame chumvini ndipo utalipata jibu lako.
Mwanamke wa hivi ni liability, an i hate liabilities. Mwanamke productive na mwenye akili hawezi weka mikucha bandia mirefu kama jini.Ingawa ni za kunadika,ila mwanamke ambae ni wife material na anayejielewa hawezi kubadika mauchafu kama haya,ni xhukizo mbele ya mume wake.View attachment 1158956View attachment 1158958
Soma taratiib andiko langu. Nimemjibu muuliza swali kuwa; Usijiulize kuwa mwanamke ka huyu anatawazaje? Nenda kaufanye huo utafiti mwenyewe kwani wapo wengi tu mtaani wa jinsi hiyo.unataka kujifananishana tembo si ndio.....
Kwa majibu hayo huu uzi uishie hapaMkuu usipoteze muda na kuangaisha Bongo yako wewe usioe wa aina hiyo achana nao,
Wenzio wanaoa ndiyo tulivyotofautiana ukizielewa tofauti zetu kama watu wenye fikra tofauti mitazamo tofauti huwezi kupata tabu
Pia hiyo picha yako so far mbona ni urembo na amependeza kweli, kwa wanawake kwao urembo ni sehemu ya maisha yao Mkuu
Utakuja univunje mbavu next time[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo huwezi kumuoa kama unatumia jiko la kuni au mkaa, unachota maji kwa mwenyekiti wa mtaa na inambidi apande daladala kwenda Kariakoo
Amegusa weakness yako eeh!Sasa anavyojisafisha Mkuu unataka awe anajirekodi, bilashaka atakuwa mtu mzima mwenye akili timamu
na atakuwa na njia yake ambayo anaitumia kujisafisha si kweli kwamba kwa sababu ya kuweka hizo kucha atakuwa hajisafishi
Hawa huolewa na vibaka wenzao.Ingawa ni za kunadika,ila mwanamke ambae ni wife material na anayejielewa hawezi kubadika mauchafu kama haya,ni xhukizo mbele ya mume wake.View attachment 1158956View attachment 1158958
Kheeee makubwaaa 😯😯😯 kmbe ww unajidumbukiziaga kidole nyuma uiiwa unajiswafi mwehNa kinyeo kinajisafisha chenyewe eti..... mtakua wanawake toleo jipya