Hivi unaoaje mwanamke kama huyu?

Hivi unaoaje mwanamke kama huyu?

Definitely ukiwa unaishi kwa kupangia watu machaguo lazima uwe, unapata stress tu hakuna cha zaidi

Afanye lile ambalo linampa amani kwenye nafsi yake
Huko wanaita kuishi kwa hisia kuona mwenzio anateseka au anafaidi ili hali hajakwambia lolote, kujipa pressure zisizo hitajika wakati mwingine ni ushamba wa maisha
 
Chukua unapojikuna si wewe mboga 2 unataka kuoa mboga 7 ndiyo mwanzo wakununua gunia 2 za mkaa baada ya kushindwa kuhudumia
 
Sisi wengine hatukupenda wa aina hizo, jibabanishe na aina ya mwanamke unayemtaka, coz ni ngumu sana kufanana.

Japo wote ni watanzania, lakini tumevutwa katika tamaduni mbili-tatu tofauti. Kuna wanaojitawadha/kujiswafi na maji(utamaduni wa muarabu), na wapo wanaopendelea tissue/toilet paper. Unasemaje kuhusu hilo?

To each his own!!
 
Back
Top Bottom