tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 494
Katibu mkuu wa chadema dr willbrod slaa ni mwanasiasa pekee wa tanzania ambae huongea lugha zaidi ya 5 tena kwa ufasaha kabisa
1:kiswahili
2: kiingereza
3:kireno
3: kiitaliano
4: kijerumani
5: kiratini
6; kirusi
7:kiispania
View attachment 258318
kama kigezo ni lugha kwanini tusiwape nafasi watu wanaojua lugha za hapa nyumbani kama vile ZUBERI MSABAHA (ZM) au Wambura Mtani Wambura , huyu kajifunza lugha za wakoloni nadhani tukimpeleka kule isukamahela hawezi kufikisha ujumbe ok tafakari chukua hatua.
Anastahili kupewa kura ya ndio pale October,sio tu kwa kuongea hizo lugha kwa ufasaha ambacho nacho ni kigezo muhimu sana kwa kiongozi hasa kwa nafasi ya urais,bali ni uadilifu wake maana hana tuhuma zozote za ufisadi pia ni mchapakazi hodari