Hivi unajisikiaje kulala ukiwa uchi

Faida za kulala uchi:
1.Mwili kuwa wa Asili kama ulivyozaliwa.
2.Mwili kupata hewa bila mwingiliano na chochote Cha kuwepo,kama nguo zinazobana,chupi nk
3.Kuufanya mwili uwe huru na nguo,nk
4 Kufanya mwili ujitengeneze kama vile nyoka anavyojivua gamba nk.
 
KUNA SIKU YALINIKUTA
CHUMBA CHA MPANGAJI KILIWAKA MOTO

NKASIKI MOTO NKAHISI KWANGU NIKO UCHI NIKAVUTA SURUALI NJE FASTA KUFIKA NAONA WATU WANACHEKA

HAMAD NIMEVAA NJE NDAN SITAKI KUKUMBUKA
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…