Hivi unadhani kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume tofauti na zamani?

Hayaaaa! kama mmeamua na uzee wenu muwe mnafia gest.... ongezeni speed.... maiti zenu zitatokea gest kwenda motual ndipo mrudishwe home kwa mazishi! Hiviiii msichoridhika vidume nyie ni nini??? mbona mnajitetea saaaana! kila kitu tatizo mwanamke!!! Jitambueni... umri umeenda rudisheni majeshi vitandani mwenu looooooooool
Mbona umekazania sana hapa ????punguzeni uchafu na masimango bana. Bila hivo mtabaki na aibu ya waume zenu kufia guest.yeye amekufa

wewe unakufa kwa kunyooshewa kidole!! Sasa unaraha gani!!!
 
Habari wadau?

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Napenda niende moja kwa moja kwenye mada.

Hivi unadhani kuwa ni kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiumee tofauti na zamani?

Yaani sasa hivi asilimia kubwa ya wanaume hasa vijana hawezi kufanya mapenzi bila kitu cha kuji-boost kidogo, kila mtu na cha kwake, wengine pombe wengine nawasikia wakisema alkasusu, ugoro, viagra, vumbi la congo n.k

Tatizo lipo wapi? Ni mfumo wa maisha, lishe (artificial foods not nature), mazingira, au mwanamke mkizoweana na nguvu zinapungua?

Mimi nina ushuhuda wa mzee mmoja ana miaka kama 70, ni jamaa yangu sana na ni mtani wangu pia. Siku moja nilimuona anaingia guest na kibinti (yeye kinamwita babu) kwa sababu ofisi yangu ipo karibu na hiyo guest waliyoingia. Nilishangaa Sana kwakuwa mke wake nae tunafahamiana, na ana watoto wakubwa tu aliozaa nae wanakizidi hata hicho kibinti alichoingia nacho nyumba ya wageni.

Mimi niliendelea na shughuli zangu, ikapita kama lisaa limoja na nusu nikawaona wanatoka akauchukulia boda huo mchepuko wake ukasepa. Aliponiona tu akashtuka akanifata nilipo, tukasalimiana akaanza kuniuliza huku anajishtukia, "Kumbe Ofisi yako huwa ipo apa?". Nikamwambia ndio mtani, naona leo ulikuwa matembezi kidogo!? Akasema, Ndio, najua umeshangaa kwa kilichotokea lakini sisi wote ni wanaume, kwaio yaishie hapa hapa. Nikamwambia mimi sipo hivyo mzee kuwa na amani.

Mzee wa watu akaanza kufunguka, akasema, "Unajua kijana wewe ni mwanaume kama mimi siwezi kukuficha. Mimi na mama yako huyo tuna miaka mingi mno, Sasa hivi imefika mahali jogoo hawiki ndani, na mambo hayaendi. Nikaona ili nijiridhishe kuwa nina tatizo au la, ngoja nijaribu nje ndio ntajua". Akasema kuwa yule binti niliye muona ni binti wa chuo, alijipendekeza siku moja akasema huyuhuyu ndio ntamfanyia practical.

Akasema tena kuwa walivyoingia tu chumbani yule binti alisaula nguo zote, na hivi alikuwa na rangi ya Kinyaturu, mzee alivyoiona tu mashine ya dogodogo mtambo ukaenda hewani wenyewe, bila hata ya kushikiliwa, na wakati kwa mkewe anasema mpaka waandaane lisaa zima na nusu napo kuingiza mpaka kwakuishikilia ndio inaingia ikiwa imetepeta. Mzee alisema alijihisi amekuwa kijana ghafla na alipiga zile shoo zake za miaka ile enzi za ujana wake, japokuwa ni kwa kujitutumua mno. Hapo mzee akasema kumbe tatizo Sio yeye tatizo ni mke wake".

Naishia hapo wadau.
Nini mtazamo wako?
Wanaume wapo vile vile,hakuna kibamia,Wala Tango,tatizo hawa dada zetu,wameanza kucheza gemu akiwa dsrasa la sita,anatanuliwa weeeee,mpaka ukutane nae anamiaka 22+,dude limeishakuwa paaaaana,harafu anakuambia haunifikishi,una kibamia,kumbe,maeneo ni makubwa balaaa,baaada ya kutanuliwa
 
Sababu kuu ni stress za ugumu wa maisha.
Na hapa ndipo napomuona jamaa wa pdf akipiga mwingi kuanzishwe TANZANIA LABOUR CO-OPERATION, TANZANIA AGRICULTURE CO-OPERATION, TANZANIA LIVESTOCK CO-OPERATION yote haya katika kupambana na umaskini na watu watapata maisha bora na kupiga game zao bila unyonge
 
Habari wadau?

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Napenda niende moja kwa moja kwenye mada.

Hivi unadhani kuwa ni kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiumee tofauti na zamani?

Yaani sasa hivi asilimia kubwa ya wanaume hasa vijana hawezi kufanya mapenzi bila kitu cha kuji-boost kidogo, kila mtu na cha kwake, wengine pombe wengine nawasikia wakisema alkasusu, ugoro, viagra, vumbi la congo n.k

Tatizo lipo wapi? Ni mfumo wa maisha, lishe (artificial foods not nature), mazingira, au mwanamke mkizoweana na nguvu zinapungua?

Mimi nina ushuhuda wa mzee mmoja ana miaka kama 70, ni jamaa yangu sana na ni mtani wangu pia. Siku moja nilimuona anaingia guest na kibinti (yeye kinamwita babu) kwa sababu ofisi yangu ipo karibu na hiyo guest waliyoingia. Nilishangaa Sana kwakuwa mke wake nae tunafahamiana, na ana watoto wakubwa tu aliozaa nae wanakizidi hata hicho kibinti alichoingia nacho nyumba ya wageni.

Mimi niliendelea na shughuli zangu, ikapita kama lisaa limoja na nusu nikawaona wanatoka akauchukulia boda huo mchepuko wake ukasepa. Aliponiona tu akashtuka akanifata nilipo, tukasalimiana akaanza kuniuliza huku anajishtukia, "Kumbe Ofisi yako huwa ipo apa?". Nikamwambia ndio mtani, naona leo ulikuwa matembezi kidogo!? Akasema, Ndio, najua umeshangaa kwa kilichotokea lakini sisi wote ni wanaume, kwaio yaishie hapa hapa. Nikamwambia mimi sipo hivyo mzee kuwa na amani.

Mzee wa watu akaanza kufunguka, akasema, "Unajua kijana wewe ni mwanaume kama mimi siwezi kukuficha. Mimi na mama yako huyo tuna miaka mingi mno, Sasa hivi imefika mahali jogoo hawiki ndani, na mambo hayaendi. Nikaona ili nijiridhishe kuwa nina tatizo au la, ngoja nijaribu nje ndio ntajua". Akasema kuwa yule binti niliye muona ni binti wa chuo, alijipendekeza siku moja akasema huyuhuyu ndio ntamfanyia practical.

Akasema tena kuwa walivyoingia tu chumbani yule binti alisaula nguo zote, na hivi alikuwa na rangi ya Kinyaturu, mzee alivyoiona tu mashine ya dogodogo mtambo ukaenda hewani wenyewe, bila hata ya kushikiliwa, na wakati kwa mkewe anasema mpaka waandaane lisaa zima na nusu napo kuingiza mpaka kwakuishikilia ndio inaingia ikiwa imetepeta. Mzee alisema alijihisi amekuwa kijana ghafla na alipiga zile shoo zake za miaka ile enzi za ujana wake, japokuwa ni kwa kujitutumua mno. Hapo mzee akasema kumbe tatizo Sio yeye tatizo ni mke wake".

Naishia hapo wadau.
Nini mtazamo wako?
Chuchu na Matakoz ndio dawa ya kila mzembe wa kusimamisha daladala za kupitia bustani ya edenenga
 
Tatizo la nguvu za kiume kwa wanaume wengi haswa vijana ni ulaji mbovu wa vyakula wanaokula kila siku na upigaji wa punyeto unachangia sana upungufu wanguvu za kiume kwa vijana. Utakuta mtu anakula asubuhi vitumbuwa au chapati au maandazi na chai na mchana anakula ugali na kauzu na jioni anakula chips kwa kuku je mtu wa aina hiyo kweli atakuwa na nguvu zakiume? Hali vyakula vya asili hali mboga za majani hali matunda atakosaje kuwa na upungufu wanguvu za kiume? Dawa ya kutibu upungufu wa nguvu za kiume ninayo kwa mtu mwenye kutaka anitafute kwa wakati wake ili nipate kumtibia na aweze kupona maradhi yake.
 
Kama mtu ananuka mdomo au ananuka kwapa, mikojo, anahofu ya kuwa pengine ninaefanya nae ni muathirika, njaa, kudaiwa madeni au kumdai mtu nk pia vinachangia mashine kutosimama vizuri
Upo sahihi mkuu, hizi mambo za hofu ya magonjwa huwa inakata mood ya kugegeda kabisa,
 
Huu utandawazi umechangia kwa kiasi kikubwa sana haya masuala ya upungufu wa nguvu za kiume.

Mie kipindi naanza barehe late 2000s nlikuwa nikiona tu chupi imeanikwa MSHALE utasoma 4G ya kibabe, lakini kadiri siku znaenda kuja kutumia simu na kuingia sites za nude ,unakutana na watoto wasafi, shepu ya chupa, chuchu konzi. Sasa ukisha weka akilini wadada wa kwenye porn ukija kiuhalisia wadada wa bongo hawapo hivo kitambi, vuzi kama kichaka, minyama uzembe Bado kiharuhu kikali, mwishowe mtu unabadi na conflict kichwan mbona wa kule tofauti na Hawa.

Mbaya zaidi ukicheki porn mara nyingi unaishia kujichuaa, na Ili ujichue inahitaj upate video au picha nzuuuuuuri ya kufanyia hivo mwishowe bila kivutia hisia hizo pichaa za porn mnara hausomi vyema.

La mwisho kwa Leo ,sikuhizi kuna dildo vibrator wadada wengi wanazitumia hivyo kureplace nafasi ya kiume na kutuona hatuna màaana.

Sababu zngine ni stress za kukosa ajira, ugumu wa maisha etc

All in all fahari ya mwanamme ni pamoja na kuona Mzee abdallah anakuwa vyema hivyo

Tule vizuri mboga,matunda,nafaka, maji ya kutosha ,tangawiz kwa chai, mdalasin, kitunguu swaumu bila kusahau mazoez kama push up na jogging

#HAPPY BIRTHDAY TO ALL EMMANUEL AND EMMANUELA OUT THERE
 
Masuala ya upungufu wa nguvu za kiume yapo tangu zamani. Mi tangu mdogo nilikuwa naona matangazo ya dawa hizo za nguvu za kiume kwenye magazeti ya shingongo kipindi hicho yanauzwa mia mia, dawa kama super shaft zilikuwa zinatangazwa sana tu sasa huu utandawazi usiwadanganye mkahisi ni tatizo la siku hizi tu.
 
Habari wadau?

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Napenda niende moja kwa moja kwenye mada.

Hivi unadhani kuwa ni kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiumee tofauti na zamani?

Yaani sasa hivi asilimia kubwa ya wanaume hasa vijana hawezi kufanya mapenzi bila kitu cha kuji-boost kidogo, kila mtu na cha kwake, wengine pombe wengine nawasikia wakisema alkasusu, ugoro, viagra, vumbi la congo n.k

Tatizo lipo wapi? Ni mfumo wa maisha, lishe (artificial foods not nature), mazingira, au mwanamke mkizoweana na nguvu zinapungua?

Mimi nina ushuhuda wa mzee mmoja ana miaka kama 70, ni jamaa yangu sana na ni mtani wangu pia. Siku moja nilimuona anaingia guest na kibinti (yeye kinamwita babu) kwa sababu ofisi yangu ipo karibu na hiyo guest waliyoingia. Nilishangaa Sana kwakuwa mke wake nae tunafahamiana, na ana watoto wakubwa tu aliozaa nae wanakizidi hata hicho kibinti alichoingia nacho nyumba ya wageni.

Mimi niliendelea na shughuli zangu, ikapita kama lisaa limoja na nusu nikawaona wanatoka akauchukulia boda huo mchepuko wake ukasepa. Aliponiona tu akashtuka akanifata nilipo, tukasalimiana akaanza kuniuliza huku anajishtukia, "Kumbe Ofisi yako huwa ipo apa?". Nikamwambia ndio mtani, naona leo ulikuwa matembezi kidogo!? Akasema, Ndio, najua umeshangaa kwa kilichotokea lakini sisi wote ni wanaume, kwaio yaishie hapa hapa. Nikamwambia mimi sipo hivyo mzee kuwa na amani.

Mzee wa watu akaanza kufunguka, akasema, "Unajua kijana wewe ni mwanaume kama mimi siwezi kukuficha. Mimi na mama yako huyo tuna miaka mingi mno, Sasa hivi imefika mahali jogoo hawiki ndani, na mambo hayaendi. Nikaona ili nijiridhishe kuwa nina tatizo au la, ngoja nijaribu nje ndio ntajua". Akasema kuwa yule binti niliye muona ni binti wa chuo, alijipendekeza siku moja akasema huyuhuyu ndio ntamfanyia practical.

Akasema tena kuwa walivyoingia tu chumbani yule binti alisaula nguo zote, na hivi alikuwa na rangi ya Kinyaturu, mzee alivyoiona tu mashine ya dogodogo mtambo ukaenda hewani wenyewe, bila hata ya kushikiliwa, na wakati kwa mkewe anasema mpaka waandaane lisaa zima na nusu napo kuingiza mpaka kwakuishikilia ndio inaingia ikiwa imetepeta. Mzee alisema alijihisi amekuwa kijana ghafla na alipiga zile shoo zake za miaka ile enzi za ujana wake, japokuwa ni kwa kujitutumua mno. Hapo mzee akasema kumbe tatizo Sio yeye tatizo ni mke wake".

Naishia hapo wadau.
Nini mtazamo wako?
Binafsi nafahamu hakuna kitu kinachoitwa mapungufu ya nguvu za kiume ni Psychology tu....

Concentrations & Intimacy ndo kitu ambacho, mimi nilipitia kipindi nawahi kilele mara kibao tu lakini kuja kutulia na kutuliza akili mambo ni swafi tu!
 
Back
Top Bottom