Hivi umewahi kusikia kuwa hisia huambukizwa[emoji3480]

Eti mimi aniambukize ujinga wake? Hapana, sitakubaliana nae. Najifunza kuwa mbali nae basi.
 
Hisia haziambukizwi bwana unless otherwise chanzo cha hizo hisia kiwe sensitive na kinakuhusu. Ishu ya msiba ukifiwa na mzazi hisia zake ni tofauti na zile za kufa jirani.
Ni kweli jambo hadi liwe linakuhusu.
mbali na hapo utanisamehe, emotion zako peleka kuleeee 😂😂
 
Back
Top Bottom