Hivi umeshawahi kutoswa wewe?

Mimi nafuga kuku tu mkuu...mbuzi na ng'ombe nawaona kwa jirani tu.
Boss jaribu ufugaji wa
mbuzi na ng'ombe wa kienyeji
wana usumbufu na gharama
ila nyama yao ni zaidi ya kuku
 
Du ila kuku wako demu ndo unata awe wako.wengine sisi hatuna uvumilivu mtu akikutosa tu unajua hajakupenda.ila nimetoswa sana adi nkimtongoza demu nafanya kama nacheza gem nkitoswa nazima afu naanza tena[emoji23]
 
Reactions: SDG
Nliumia demu ni jirani kila siku namkuta na watu waajabu kwakuwa nlimpenda nkawa naumia bas siku 1 nkakutana nae njiani tupo wawili tu nkamsimamisha akasimama nkamwomba hata namba tuwe tuna chat du jibu alilonipa,huwa nakuona kila siku kama ungekuwa na umuhimu kwangu ningeshakupa namba ila hauna umuhimu kwangu du nliondoka na aibu utafikiri dunia nzima imesikia lile jibu viroba vilikuwepo enzi hizo nkachukua kadhaa getto nkajifungia adi kesho yake ndo nkawa poa kutoswa inauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…