hivi umeliona hili bango?...All essential areas are covered

hivi umeliona hili bango?...All essential areas are covered

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
..nimeipenda hii idea katika tangazo la AIRTEL kwenye bango barabarani maeneo ya MOROCCO...wachezaji timu ya manchester united, wameshikilia nyeti zao
alafu juu yake ikaandikwa "all essential areas are covered"....
 
Waache wajihusishe na mambo ya Uingereza, unaona huo uelekeo! Kama umekaa kikameruni kameruni vile.
 
Yaani we wanamme wenzio wakishika nyeti zao wewe unafurahi???

Mi naona wanatukana tu, ni fffffn ya kiaina.
 
Hata pale kipawa njia panda ya kuingilia jk nyerere airport lipo, mi linaniuzi hao vilaza wa man6!! bora wangeweka wachezaji wa ukwe e! wa chalsea.
POPOBAWA.
 
Yaani we wanamme wenzio wakishika nyeti zao wewe unafurahi???

Mi naona wanatukana tu, ni fffffn ya kiaina.
aaah ntake radhi kongosho...lakini cjajua km ww ni me au ke!!kwa iyo huo upinzani cjaushangaa
 
Back
Top Bottom