Ligaba
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,045
- 2,821
Habari zenu wakuu.
Leo nimekumbuka nyuma wakati najiunga na JF kwa mara ya kwanza. Kwa kweli technology inakimbia kwa speed kubwa sana. Nikikumbuka aina ya simu niliykuwa nafungulia threads za humu ndani na magumu yake naduwaa kidogo.
Kwa ufupi Mimi ID yangu ya kwanza JF niliifungua 2011 wakati ule nilikuwa mtumiaji sana wa Facebook na kule kuna page ya JF nililike na ikawa naona story za humu ndani, nilipo jaribu kuingia ndani nikawa naona member wa wakati huo nakumbuka Mzizi Mkavu, na maligends wengine waliokuwa katika pick.
Kinacho nichekesha Leo ni aina ya simu huo mwaka nilikuwa natumia simu fulani za Nokia X-01 kama sikosei wengine walikuwa wanaziita Asha. Nawaza kama simu hii nikipewa Leo nitumie KuGoogle itakuwaje?
Je, wenzangu mnazikumbuka simu zilizotuunga JF kwa mara ya kwanza? Nasikia kuna wakongwe zaidi hao hawakutumia simu badala yake walitumia PC ili kuingia JF.