Nini kilitokea uliposhindwa kupokea simu kwa wakati?

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Habari.

Inafika point kushindwa kupokea simu Moja ndani ya Muda mfupi Ina kugharimu kwa kiasi kikubwa Sana.

Matukio Mawili yaliyonitokea yananifanya niwe makini na simu yoyote inayoingia hadi Leo.

La kwanza. Asubuhi nikiwa nimelala nimeiacha simu, nakuta missed calls 3 za jamaa yangu mmoja nikaamua kumtafuta. Akani mind na kuanza kuniambia ,umezingua nilikuwa na kupigia kuna kazi ilikuwa inahitaji mtu wa nafasi yako, HR alikuwa ameniambia nipendekeze jina sasa kitendo cha wewe kutopokea ,tukampa nafasi mtu mwingine pole.

Niliumia Sana kukosa kazi.

La Pili. Nilikuwa na uhitaji mkubwa wa kazi nimetoka kumaliza chuo. Kuna mtu akaniunganisha na hawa Taesa. Aisee! Wakanipigia simu nikaripoti kazi na namba lao lile la 0735.......nikajaribu kuwapigia simu haitoki. Walikuja kunitafuta kama wiki mbele Ila walinifundisha kitu.

Niambie Jambo gani ulilikosa uliposhindwa kupokea simu kwa wakati husika?
 
Habari.

Inafika point kushindwa kupokea simu Moja ndani ya Muda mfupi Ina kugharimu kwa kiasi kikubwa Sana.

Matukio Mawili yaliyonitokea yananifanya niwe makini na simu yoyote inayoingia hadi Leo.

La kwanza Asubuhi nikiwa nimelala nimeiacha simu, nakuta missed calls 3 za jamaa yangu mmoja nikaamua kumtafuta nakuta ananitukana na kuanza kuniambia, umezingua nilikuwa na kupigia kuna kazi ilikuwa inahitaji mtu wa nafasi yako HR alikuwa ameniambia nipendekeze jina sasa kite do cha wewe kutopokea ,tumpa nafasi mtu mwingine pole.

Niliumia sana kukosa kazi.

La pili nilikuwa na uhitaji mkubwa wa kazi nimetoka kumaliza chuo, kuna mtu akaniunganisha na hawa Taesa , Aisee wakanipigia simu nikaripoti kazi na namba lao lile la 0735.......nikajaribu kuwapigia simu haitoki.

Walikuja kunitafuta kama wiki mbele Ila walinifundisha kitu.

Niambie Jambo gani ulilikosa uliposhindwa kupokea simu kwa wakati husika?
 
Nilikosa nafasi jeshini. Ilikua nimetoka kumaliza chuo niko na stress za haja. Nikaona nisije fia ndani kwa stress, nikaacha simu chaji nikatoka kwenda kupunga upepo nje huko. Kurudi geto nakuta missed calls kama zote za ndugu zangu. Kumpigia mmoja naambiwa kuna nafasi ya JW ilitakiwa na ilibaki mtu mmoja tu ambae nilipendekezwa mimi. Basi nikapotezea nikaamini sikuandikiwa kwenda huko jeshini.
 
Nilishakosa mchongo kwa design hio hio. Naambiwa wajuba wanahitaji kijana chap chap mwanangu kanipigia we sikupokea nakumbuka nilikuwa na mchepuko wangu flani sasa nikawa sitaki simu za bi. Mkubwa nizipokee nikiwa nae.

Kilichotokea nikaignore simu muhimu kweli kwenye maisha yangu na ilikuwa swala la kuitoa mfukoni tu. 🤣 Nikawa naisikia vibration ila kuitoa nasita isije kuwa bi mkubwa kumbe napishana na ramani 🤣 basi ikawa ntolee.
 
Usinikumbushe uchungu Tafadhali 🤚🏻

Mimi nilibadiri namba, Alaf Kun watu waliniahidi watanitafuta nakuja kukumbuka hio namba mpya ina kama miez 3 hivi. Wale watu walikua muhimu sana sana. Nikiwasema hapa nina uhakika (100%) mtanisaidia kulia 😂😂. Inauma
 
mkuu pole sisi wasakatonge simu ni muhimu Sana kuna namba ukizipoteza zimebeba ugali
Usinikumbushe uchungu Tafadhali

Mimi nilibadiri namba, Alaf Kun watu waliniahidi watanitafuta nakuja kukumbuka hio namba mpya ina kama miez 3 hivi. Wale watu walikua muhimu sana sana. Nikiwasema hapa nina uhakika (100%) mtanisaidia kulia . Inauma
 
Usalama nini ?
 
Ukifika miaka 20 kijana uwe na namba moja tu official unaruhusiwa kuongeza lakini
 
Back
Top Bottom