Hivi ukitongoza lazima ukubaliwe?

Hivi ukitongoza lazima ukubaliwe?

Sio lazima, na anayeweka bifu ujue domo zege anaogopa kwenda pengine ataanzaje.

Yaani hapo mimi nimeshiba kabisaaaa... kwa comment yako. Hata ukihonga vipi si lazima ukubaliwe. Mapenzi ni kati ya mtu na mtu sio mtu na vitu. Ukikataliwa of course utanyog'onyea kwa aibu lakini hakuna sababu ya kuweka bifu. Hata kama amekula vyako hesabu kuwa vimeliwa na dada yako! Kwani dada yako akila vyako unapata nini zaidi ya "asante sana kaka"?
 
Wadada wengine maboya,ukimtongoza anakuchora kwa dharau then anasema,kwanza sikupendi pili unikome.Basi akisema hivo unamkoma kweli na hata ukikutana nae humuangalii usoni.Kwa hiyo dada,huyo jamaa ulimpiga kibuti cha dharau na kejeli,naye amekukoma kweli kweli.NEWTON'S 3rd LAW OF MOTION!
 
Ukitongozwa :clap2: maana kuna wenzako hawajawahi kutongozwa na wana hamu km hiyo:majani7:
 
Hivi kina kaka,inakuaje mtu anakuwekea chuki na bifu za ajabu ajabu kisa tu umekataa kukubali ombi lake la kuwa wapenzi?? Acheni hayo mambo,ukitongoza si lazima ukubaliwe. Muelimishane

Huyo ni mgeni na mapenzi, hakuna mzinzi asiyejua kuchomolewa,,
 
Imenitokea mkuu,yaani mtu nkimsalimia haiatikii...hahahaaa

aitikie ili iwaje...sii humtaki so kila mtu na hamsini zake...y ladies mnataka kuremain frends na mwanaume uliyempiga chini? never makes sense to me...demu akinibwaga na mie wala sijisumbui na wala sitaki contact yoyote
 
Teh teh teh huyo mwanaume atakuwa hajielewi.....!Kwani vita hiyo,umepga sound mchicha haijakubalika bas unaangalia sehemu nyingine ingawa wakat mwingine baadh yetu pia tunawajibu vibaya mpaka anajiona hafai tena popote.
Sio vita hiyo jaman,tueleweshane tu.
 
Aisee nadhani hili mkuu mzabzab linahitaji mjadala mpana sana...na sio tu muwe marafiki, mumaintain the previous status quo..nadhani unanisoma...sasa why that wakati mmeshabwagana? Kutakuwa na urafiki gani wakati umemmwaga mwenzio tena kwa kejeli? Hili ni fumbo kwa kweli
 
Last edited by a moderator:

Jamaa ameangalia sehem.nyingine demu aliyemkataa bado anataka wawe marafiki...anayetaka vita apo nani?
 
Sidhani kama kweli ulitongozwa barabara...utakuwa ulikutana na mpayukaji ambaye hakukubana vizuri kwenye engo thita...
Enzi zetu sisi ulikuwa ukimkaba vilivyo binti, anaweza jikuta anapata kibarua cha ziada cha kupruni majani ya mti bila kifaa chochote kama sio kupruni kucha zote kwa meno...
Tongozo la ukweli huwa haligongi ukuta ndio maana yupo aliyewahi kukutongoza na ukamkubali maana aligonga penyewe...
 
Jamaa ameangalia sehem.nyingine demu aliyemkataa bado anataka wawe marafiki...anayetaka vita apo nani?

Urafiki si kitu cha lazima......kila mtu awe na hamsini zake.
Laaa sivyo anatafuta mengine!!!!!!!
 
Hivi kina kaka,inakuaje mtu anakuwekea chuki na bifu za ajabu ajabu kisa tu umekataa kukubali ombi lake la kuwa wapenzi?? Acheni hayo mambo,ukitongoza si lazima ukubaliwe. Muelimishane

limekutouch umempiga kidoch mtu nini?
 
Aisee nadhani hili mkuu mzabzab linahitaji mjadala mpana sana...na sio tu muwe marafiki, mumaintain the previous status quo..nadhani unanisoma...sasa why that wakati mmeshabwagana? Kutakuwa na urafiki gani wakati umemmwaga mwenzio tena kwa kejeli? Hili ni fumbo kwa kweli

mie nashindwa kuelewa kabisa...tayari hapo kuna conflick of interest...one wants intimacy another just friendship...ni sawa mafta yachangayike na maji...haiwezekani. better u go ur separate ways.
 
mie nashindwa kuelewa kabisa...tayari hapo kuna conflick of interest...one wants intimacy another just friendship...ni sawa mafta yachangayike na maji...haiwezekani. better u go ur separate ways.

mkuu mzabzab sawa kabisa...sasa Tysher aje atueleze alikuwa na maana gani kumwaga mshkaji na huku anataka waendelee kuwa 'marafiki wa kawaida'
 
Last edited by a moderator:
Unapotongoza u always expect to get a positive answer, sasa jibu kinyume na hapo lazima ijenge negativity na siku zote negativity haina matunda mazuri..
 
kwa nini umkatalie wakati nimeumbwa kwa ajili yetu?
 
Hivi kina kaka,inakuaje mtu anakuwekea chuki na bifu za ajabu ajabu kisa tu umekataa kukubali ombi lake la kuwa wapenzi?? Acheni hayo mambo,ukitongoza si lazima ukubaliwe. Muelimishane

ukimkatalia mtu lazima kutangaza?
 
Back
Top Bottom