Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
Yeaaaaaaaaaah........!Mzima ww?
mimi mzima kabisa...hebu kuja PM uni-update ile makitu bana......
Yeaaaaaaaaaah........!Mzima ww?
mimi mzima kabisa...hebu kuja PM uni-update ile makitu bana......
ukiona unatongozwa sana wewe si mzuri la hasha unasura ya kiumalaya aka matamanio by Nabii na Mtume J Mwingira
mimi mzima kabisa...hebu kuja PM uni-update ile makitu bana......
Hivi kina kaka,inakuaje mtu anakuwekea chuki na bifu za ajabu ajabu kisa tu umekataa kukubali ombi lake la kuwa wapenzi?? Acheni hayo mambo,ukitongoza si lazima ukubaliwe. Muelimishane
Unapotongoza u always expect to get a positive answer, sasa jibu kinyume na hapo lazima ijenge negativity na siku zote negativity haina matunda mazuri..
mimi nikikutongoza lazima ukubali usipokubali jua patachimbika. hakutakalika. kwanini ukatae, kwani wewe bikra? mtu mwingine ukimtongoza anajishaua utafikiri habld. hata hivyo hadi nikutongoze itabidi ujiite mwenye bahati. wambie wenzako. mia
Duuuuuuuh.......!
Kimya kimya, miss strong nikikutongoza utanikatalia au utanikubalia?
hahahaaa...!!!. mwingine unakuta kicheche mtaani lakini ukimtongaza anajifanya kujishaua, wakati mwenzie umeenda kwa adabu zote. cha ajabu anajifanya hajui hayo mambo. ukimtongoza anajifanya mgumu na wewe unajiona umepata kumbe ndo unajihukumu. hawa wadudu nshawachoka. usipoteze muda kutongoza demu asiye elewa somo. unajua siku hizi ukitaka kila siku utembee na demu tofauti inawezekana so ni haki yetu kulinga. hataki muache aende zake. mia
Hivi kina kaka,inakuaje mtu anakuwekea chuki na bifu za ajabu ajabu kisa tu umekataa kukubali ombi lake la kuwa wapenzi?? Acheni hayo mambo,ukitongoza si lazima ukubaliwe. Muelimishane
miss strong hana makuu. mia
Ha ha ha ha........subir nikawaambie kwanza nyumbani manoah kama watakubali basi haya.