Hivi ukitongoza lazima ukubaliwe?

Hivi ukitongoza lazima ukubaliwe?

Hapana,sikumkubali. Kilichokua kati yetu ni urafiki,alivyoleta hizo habari gani nkamtolea nje. Nashangaa analeta mambo ya kuuchuna

Tysher, usije ukawa umeamua kunianika mimi hapa jamvini aisee!! Vibaya hivyo!!
 
Last edited by a moderator:
lazima auchune maana smile yake kaihifadhani kwa yule atakaye mkubalia
 
Back
Top Bottom