comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,447
- 11,505
Kama channel za movie ni chache Sana, Cinema zetu yenyewe kuna kipindi ilikua nzuri walikua wanaweka single movie nzuri kuanzia asubuhi Hadi usiku, usiku ndio walikua wanaweka tamthilia za Kiswahili, lakini sasahivi ni kutwa nzima wanaweka tamthilia ambayo nzuri ni moja tuu.
Ukitoa Mpira wa kibongo startimes NI Bora kuliko Azam TV
NI wakati sasa wa kununua DSTV au STARTIMES.
Wenye DSTV vipi na huko? Au nihamie STARTIMES??
Ukitoa Mpira wa kibongo startimes NI Bora kuliko Azam TV
NI wakati sasa wa kununua DSTV au STARTIMES.
Wenye DSTV vipi na huko? Au nihamie STARTIMES??