Hivi ukiacha pesa wanaume mna nini cha kuiteka akili ya Mwanamke?

Cha ziada wanachopenda ni hogo la jang'ombe!
julius_mtatiro_20200627_7.jpg
 
Mwanaume anapendewa mashine tu ukiacha pesa kama ukitaka kuamini mpenzi wako mpe pesa alafu usimkojoleshe vyema alafu uone wanyoa viduku watakavyomkamia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Katika vitu ambavyo hutofanikiwa katika huu ulimwengu mpaka unazikwa ni kupata ukweli kuhusu hichi kiumbe kinaitwa mwanamke
 
Habari zenu JF! Mapenzi yamechukua nafasi kubwa kwenye maisha yetu. Japo mapenzi yanaweza kuwa ya dhati au sio ya dhati.

Je, unafikiri ukiacha pesa wanaume wana cha ziada cha kuiteka akili ya mwanamke?

Na kwa wanawake ukiacha ngono (sex) wana cha ziada cha kuiteka akili ya mwanaume?

Love Is not all about sex. Wala love is not all about money.

Ila sikuizi eti usipokuwa na pesa yaani usubiri zile "sikutaki" nyingi na zile "Utanipa nini" za kutosha

Kwa hiyo wasio na pesa hatupati penzi hata kwa ncha ya upanga na mapenzi hayako kwa ajili yetu tukaushie au tujikaze

Dudu aka mpini aka rungu nyama aka abdallah kichwa wazi aka mtalimbo aka Muwa aka Mashine aka Bunduki aka Muhogo wa Jang'ombe
 
Kwa upande wangu sina lolote la maana lakini huwa nnahakikisha anaimba nyimbo za jina langu Concoo kunako bedroom:p
 
Vijana siku hizi issue ya mahusiano ni vurugu mechi.

Hakuna mambo zaidi hapo cha kumtisha mwanamke, ni uwezo wako wa kifedha tu, kuna mikoa ni pesa yako ndipo unapata unayemuhitaji na wapo wazi, issue ya sijui nini na nini labda wazee waliochoka wanaotaka mleane tu.
 
Mleta mada nikukumbushe tu ya kuwa starehe ya maskini ni mapenzi plus sex. Yaani katika starehe zote ni starehe mapenzi plus sex ndiyo unaweza kuipata bila ya kuwa hata na sh.100 maisha yako yote. Hayo ya pesa ni biashara ya ngono. Mapenzi yanatolewa bure hata fukara wanapendana na wanasex tena kwa raha sana zaidi ya wenye pesa. Ndio maana sisi mafukara tunaongoza kuwa na watoto wengi. Maana muda mwingi tuko pamoja na fursa inapopatikana tunatiana na wapenzi wetu na Mungu akijalia tunapata matunda ya sex yaani mtoto. Kila giza likiingia lazima kitu na box maana hatuna hela ya kufanya starehe zaidi ya hiyo. Mfano kuna watu wale wanakaa porini sijui hadzabe n.k. wanapeana raha ya mapenzi sana wale na wao pesa sio muhimu sana. Mapenzi ni starehe ya asili kabisa kwa mwanadamu kama ilivyo kwa wanyama na viumbe hai wengine wengi.
 
Mleta mada nikukumbushe tu ya kuwa starehe ya maskini ni mapenzi plus sex. Yaani katika starehe zote ni starehe mapenzi plus sex ndiyo unaweza kuipata bila ya kuwa hata na sh.100 maisha yako yote. Hayo ya pesa ni biashara ya ngono. Mapenzi yanatolewa bure hata fukara wanapendana na wanasex tena kwa raha sana zaidi ya wenye pesa. Ndio maana sisi mafukara tunaongoza kuwa na watoto wengi. Maana muda mwingi tuko pamoja na fursa inapopatikana tunatiana na wapenzi wetu na Mungu akijalia tunapata matunda ya sex yaani mtoto. Kila giza likiingia lazima kitu na box maana hatuna hela ya kufanya starehe zaidi ya hiyo. Mfano kuna watu wale wanakaa porini sijui hadzabe n.k. wanapeana raha ya mapenzi sana wale na wao pesa sio muhimu sana. Hivyo usichukulie powa mwanamke sio kum* yake tu kama unavyodhani na wala mwanamme sio pesa au mbo* yake. Mapenzi ni starehe ya asili kabisa kwa mwanadamu kama ilivyo kwa wanyama na viumbe hai wengine wengi.
Kama nimekuelewa hivi...U got a point!
 
Tofautisha upendo wa kweli na tamaa.

Upendo wa kweli huridhika na hali halisi ya uchumi wa mtu anaekuwa nae kwny mahusiano.

Tamaa ni tofauti kwnye hali hii mtu haridhiki na hii hupelekea kuanza kuangaika ili kutimiza matamanio yake kwa kutaka kuwa na mtu wa hadhi fulani na hapa ndipo dunia ya sasa ilipo(jiulize ni wangapi hawana dhana hii kwenye mahusiano ya mapenz?)
Ndio tuko kwenye kizazi kilochogubikwa na tamaa. Kwahio mwenye pesa anaonekana wa thamani sababu ndio mtu pekee mwenye uwezo wa kufulfill matamanio ya mwanamke. Hii ni sababu mapenzi yamekuwa over material things na sio utu kwa watu wengi...focus ni ntapata nini nikiwa nayeye.
 
Back
Top Bottom