Hivi uki retake, boom unaendelea kupata?

Joined
May 4, 2022
Posts
44
Reaction score
54
Habarini wanajamvi, nimewiwa kuuliza swali hili ili nipate ufafanuzi.

Mimi ninasoma degree NIT, nime retake somo mwaka huu wa pili, na pia nina mkopo kutoka loan board.

Je, ku retake huku kutaleta athari gani kwenye boom na mkopo wangu kwa ujumla?

Naomba ufafanuzi katika hili, ahsanteni sana.
 
Ndio unapata lakini mwaka wa mwisho uwezi kupewa maana budget ya Boom yako ni miaka mitatu tuu ivyo huo mwaka wa nne utajijua mwenyewe Mkuu
 
Si nilisikia, wanasitisha boom lako then uki clear retake ndipo unaendelea kulipiwa ada ukishaingia mwaka wa nne?
 
Loan Officer atasimamisha boom ule mwaka ambao utakua nyumbani. Ukirudi baada ya kuclear iyo retake, yeye ata resume ule mkopo.
 
Ahsante sana kaka.! Nilikuwa nimeanza kufikiria kuacha chuo. Na je, kama somo nililo retake nitalisoma semester ya pili?

Ni kwamba unalipia hiyo retake kwa hela yako?
 
Back
Top Bottom