Hivi ujenzi wa viwanda umefikia wapi?

Hivi ujenzi wa viwanda umefikia wapi?

Tafsiri tafadhali!
Marhabaa.

Zilongwa = Yanayosemwa.

Zitendwa = Yanayotendwa.

Mzaramo akikwambia "Zilingwa mbali, zitendwa mbali" maana yake kakudharau sana kwa kuona unayosema ni tofauti na unayotenda.

Waingereza wanasema "Talk is cheap".

Waswahili wanasema "Ada ya mja kunena, maungwana ni vitendo".
 
utetezi usio sababu! mambo makubwa mangapi yametekelezwa tangu iingie madarakani ambayo ni complex sembuse viwanda tu!
Viwanda vingi vimebinafsishwa tifaut na hayo mambo makubwa unayosema, hayo yaliihusu serikali moja kwa moja. hivyo huenda wamiliki wapo kwenye mchakato wa kuvifufua

Hii nchi ni yetu mkuu kwanini unaiombea ishindwe? [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Bila shaka utakuwa sio mtanzania wewe
 
sijaiombea ishindwe,nimehoji mkuu,tatizo la hii nchi ukihoji kosa!
 
Nadhani ulikosea kumnukuu alisema vi-wonder not viwanda. juzi tu waziri wa tamisemi kasema sio elimu bure ni elimu bila michango
hahahah only in koromije😀😀😀
Tuliambiwa General Tyre Kitafufuka, viwanda vya nguo Kanda ya ziwa na Mbeya vitafufuka, waliobinafsishiwa na kugeuza viwanda godowns watalazimishwa kuviendeleza laah! Wapokonywe nk nk.

Ajabu sisikii tena huu wimbo wa ujenzi wa viwanda, vipi imeshindikana?, si ndo tuliambiwa hicho ni kipaumbele cha 5th phase govt?
 
Nadhani ulikosea kumnukuu alisema vi-wonder not viwanda. juzi tu waziri wa tamisemi kasema sio elimu bure ni elimu bila michango
hahahah only in koromije😀😀😀
Suka ananyoosha usukani utingo anapanga gia,lori litafika
 
Viwanda vya 'maneno ya mdomoni' mbona tayari vimeshajengwa mkuu...na hopefully 2025 tutakuwa nchi ya uchumi wa kati tena hivi ukizingatia uchumi wetu umekua..
 
Hivi nyie watu mnaoiongelea vibaya nchi yenu si ni rahisi sana kuweza kutumiwa kama ma papeti?
 
Back
Top Bottom