Hivi ujenzi wa hii kitu ulikuwa vipi

Hivi ujenzi wa hii kitu ulikuwa vipi

hata wabongo wanaweza sema hawalipwi vizuri!!:becky:

Utakuta mhandisi alikuwa mmoja tu na waliojenga ni wafungwa wa kichina wasiokuwa na ujuzi mkubwa kwenye mambo ya ujenzi.

Bongo hata urundike ma-engineer 100 wajenge hawawezi zaidi ya kukuomba posho ya kufanya upembuzi yakinifu kwa mwaka mzima!
 
Huyo jamaa hapo juu anayejenga labda aokotwe hapo na chopa! Da! Wenzetu wako mbali sana sisi tunazubaa tu na daraja la Manzese.
 
Hiyo Lushoto Tanga
ile barabara ya mombo - lushoto wakati inatengenezwa walikuwa wanatumia kamba kushusha watu wenye baruti, wengi sana walikufa, hapa tanzania tuna milima na miamba mingi sana yakuweza kutengeneza njia kama hizo, mfano njia ya kutokea Irente view to mazinde mombo ni jambo linalowezekana, huko iringa, mbeya, songea na morogoro, moshi, sekenke, na milima ya upare, ila tunachofikiria ni wizi tu....
 
Mkuu kwa hakika umesema kitu cha maana sana
 
Cliffside Steps, Hunan – China

Cliffside-Steps-Hunan-China.jpg

tumblr_m73x427Irr1qb30dwo1_500.jpg
72268768990941395_Ug217p8P_b.jpg

cliff5.jpg

mchina balaa balaa nakuambia fake na original vyote vyake kama unabisha muulize mmarekani atakuambia sasahivi anakopa wapi
 
ukweli ni kwamba ninavisoma na ndivyo hivyo vinanifanya niwe hivi unavyoweza kuhisi niko..

Nilikuwa navisoma sana ila nikaenda deep kumwelewa ellen g.white,nikatishwa na alama zilizopo kwenye nyumba yake ya milele nikaanza kuviogopa.
 
Aisee, this issue is very serious. Hapo hata wanipe dola laki mbili, siwezi cross.
 
hata wabongo wanaweza sema hawalipwi vizuri!!:becky:

Acha utani wewe, Wabongo hata ukiwalipa vipi changamoto hii utete. Project itamalizika Karne Ishirni zijazo halafu defects kibao na maisha ya wengi yatapotea njiani. Bongo noma Mkuu, watu visingizio kibao kazini. Mara Jirani kafiwa, Babu fanyiwa operation ya busha, Mtoto wa dada kafaulu....hizi zote tuu ilimradi asitokee kazini. Kha!
 
Eti wanasemaga wachina ni wachawi! pengine wamejenga kichawi!!
 
Back
Top Bottom