Hivi ujenzi wa hii kitu ulikuwa vipi

Hivi ujenzi wa hii kitu ulikuwa vipi

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
1,505
Reaction score
649
a.baa-One-very-extreme-bridge.jpg
 
Halafu pepo ampande Mtu muanze kumkemelea..!!!
 
Kama Sikosei walitumia kamba kutoka Juu na kuweka hizo Nguzo za miti na mbao kwanza ili kupata platform ya kufanyia kazi na mwisho wakajenga kitu kama Ngazi au Balcony.

Si kazi ngumu kabisa kwa WAJENZI ila mwanzo wake na jinsi ya kufikisha materials ndiyo inakuwa shida. Ila hapa inaweza kutumika kitu kama Mnyonyoro wa watu kwa kupangana na kuanza kupeana Zege na Ndondo. Watajenga kipande fulani na baada ya siku kama sikosei 7 au 14 (kutokana na ubora wa Zege na hali ya hewa) basi wataendelea kujenga kipande kinachofuata na baada ya siku 28 Maximum, hiyo kitu inakuwa tayari kusimama yenyewe.

Nimesema quality ya zege wa sababu ubora wake unapishana sana. Zege la kawaida kama tunalotumia Tanzania lina Crush kwenye 40 Mpa. Wakati kwa Wafaransa, walishagundua zamani Zege linaloweza kuhimili hadi 400 Mpa. Kwa waliofika Berlin Railway Station Mpya, utaona hizo nguzo zake zilivyo ndogo lakini zinapitisha train za mwendo kasi ambazo hufika juu na kufunga Break kwa nguvu na Nguzo zimesimama (kumbuka train linapofunga break, linatengeneza Mitetemo na Horizontal Forces).

Asante Roulette kwa picha.......

cliff5.jpg


Kwenye Picha, unaona kabisa uwekaji Nondo wa Balcony yaani Nondo zinawekwa juu toauti na kwenye floor za nyumba ambapo nondo zinawekwa chini.
 
Amen...! penye nia pasipo na njia.
but seriously...walilijengaje?
 
Back
Top Bottom