Hivi uchaga ni kabila kweli? hebu angalia hii.........! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi uchaga ni kabila kweli? hebu angalia hii.........!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ndyoko, Nov 16, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Nimejiuliza sana, leo nimeona bora niulize tu ingawa wengi watasema nimekuja na katabia kangu ka ukabila. Liwalo na liwe.

  Naomba nijuzeni waungwana, kuna hawa watu wanajiita wachaga........sijui mchaga wa machame, kibororni, rombo, uru, marangu n.k. Nimejiuliza kwa nini hawa wenzetu wako tofauti na makabila mengine ambayo kama mtu akisema ni mmakonde basi huwa hana shida kuelewana lugha hiyo ya kimakonde, iwe anatoka masasi, tandahimba, newala etc. Na hivyo hivyo kwa makabila mengine kama wamaasai, iwe anatoka olkitikit, namelock, simanjiro au kenya, wakiongea wote wanaelewan kabisa.


  Kwa wenzetu hawa hali ni tofauti sana. Kama wewe ni mmachame katu huwezi kuelewa atakaachoongea mmarangu, au mrombo, au mchaga wa uru au kibosho. Kifupi wachaga wa kutoka sehemu tofauti ndani ya mkoa mmoja hawaelewani kabisa wanapoongea kichaga.

  Mimi naomba mnieleweshe. Kwa hali hii ya kutoelewana, kuna uhalali kweli wa kusema eti kuna kabila la wachaga? Mi nadhani hakuna kabila la wachaga, ila kuna makabila tofauti yanayojitambulisha kama wachaga. We unaonaje ktk hili?

  Nisameheni 'wachaga' kama nimewaudhi ila nisaidieni ufafanuzi wa hilo.
   
 2. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hao ni wazamiaji. ndio mana wapo hivyo.
   
 3. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  ..Mi nafikiri bado wanaweza kuitwa wachaga, lakini wanatofautiana kwa 'koo' kwa mfano. Makabila mengi Tanzania yako hivyo, mfano wakurya ni mkusanyiko wa "koo' nyingi na hata kugha wanazoongea zina tofauti ndogondog..kuna Watimbaru, wanyabhasi, Bhairegi, Wasimbiti nk....hata ukienda Mbeya hawa wanaojitambulisha hapo Dar Es salaam kama wanyakusya kule Mbeya kuna Wasafwa, Wambungu nk Kagera kuna wahaya lakini pia wana makabila mengine madogo kama Wanyambo nk...so nadhani wachaga wanaweza kuendelea kuitwa wachaga kama kabila

  DISCLAIMER: Binafsi sio mchaga, maelezo niliyotoa hapo juu ni mawazo yangu, na simuhakikishii mtu yeyite kuwa niko sahihi na pia hayawakilishi asili au kabila langu. Asante
   
 4. a

  anold Tumaini Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kushare historia moja inayofanana ndicho kinachowafanya waitwe wachaga.' norms, tofauti za lugha ni 'dialectical differences' kwny language, norms na mambo mengne yanaendana sana. Na si kweli kwamba lahaja zao zina tofauti kubwa kama unavyodai.
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180

  nimekuelewa ila kidogo haupo sawa. km ukiongelea wasafwa hao ni kabila linalojitegeea kabisa na wala huwezi kusema eti wasafwa ni sawa na wanyakyusa. Kuhusu koo hilo ni kwa makabila yote unayoyajua wewe. Suala hapa ni iweje mrombo anayejiita mchaga haelewani na mmarangu ambaye naye anajiita mchaga. Yaani kwa nini mmasai ashindwe kuelewana na mmasai mwenzake kwa lugha ile ile wanayoiongea?

  Mkuu mrombo akiongea kichaga, mmachame anatoka kapa completely. Why such a difference among the same tribesmen, why? Huoni kama ni makabila mawili tofauti hapo, but all call themselves wachaga?
   
 6. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
   
 7. v

  valid statement JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kataa ukataavo, wote wataitwa wachagga japo hawaelewani lugha.
   
 8. a

  anold Tumaini Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  kwa hiyo mmasai na mchaga ni kabila moja maana hao pia hawaelewani lugha. ila hilo nalo ni wazo pia
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  basi tuseme sio wachaga, au vipi.
   
 11. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  wewe umesema!
   
 12. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0

  Mkuu hapo kwenye red naona umeamua kupotosha kabisa. Japo nakubali wachaga toka maeneo tofauti wana matamshi tofauti kwenye lugha yao lakini kiukweli wanaelewana kwa kiasi fulani kwa mfano mkibosho hapati shida sana kumwelewa mmachame hivyo hivyo mchaga wa uru,mbokomu,old moshi, kirua, kilema, marangu, mamba na mwika wanaelewana vizuri tu. wale wa rombo pia wakiongea wanaelewana kwa kiasi fulani na wenzao wa mwika na marangu.

  Tofauti ya lugha kutokana na eneo watu wanakotokea ni jambo la kawaida kabisa. Hata UK lugha ya Wa-Scotch inatofautiana kwa kiasi fulani na ile ya Wailes, England na hata Ireland. Pia hata Uchina Han Chinese inayoongelewa Yunnan ina utofauti fulani na ile inayozungumzwa Liaoning. Kwa hiyo hayo ya wachaga yasikushangaze.
   
 13. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,757
  Trophy Points: 280
  Ni kweli wote ni wachaga lakini why jina moja halafu hawaelewani? Makabila mengine mtu akisema mimi msafa basi ataelewana na msafa mwingine. Mtu akisema mimi mngoni basi wangoni wote anaelawana nao lakini si kwa wachaga
   
 14. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  i stand to be corrected!
   
 15. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #15
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  kamanda karibu kunako hii hoja. mie baaado kabsaaaaaaa kuelewa hasa wanaposema kidogo wanelewana, yaani hapo ndo utata unapozidi zaidi
   
 16. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #16
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,700
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  haya,tunaendelea kusubiri majibu. Nalog off
   
 17. Mwalimu kp

  Mwalimu kp Senior Member

  #17
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  wewe unadhani uchaga ni nini?Mimi nakushauri utafute kwanza vigezo vya kuwepo kwa kila kabila ndipo utapata jibu kama uchaga ni nini,pia ni vyema kama upo Dar uende pale makumbusho utapata mpaka historia yao,ila kwa faida yako tu ni kwamba lugha si kigezo,kwani watanzania wangapi kiswakinge kimewajaa?Hawa tuwaitaje watangereza au?Swala la msingi ni kuelewana tu,mchaga toka marangu hapa!
   
 18. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #18
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tangazo kwa wachaga wote, chuo kipya kabsa cha kichaga , chaga university college of lifé, kinatangaza koz mpwa kwa mwaka wa masomo 2011 2012 kama ifuatavyo.ubahil miez 3 ,ulev miez 5, uchakarikaj miez 6, kuacha wake kijjni miez 9, kuendesha toyo mwezi 1, kusogeza mipak ya shamba la jiran miezi 12, kuuza maduka ya ufundi miez 4. Atakaejiunga mapema atapewa ofa kozi ya kupika mbege na kutembeza ndizi bure, wah mapema fom ni chache.
   
 19. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #19
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Ofa hiyo wachaga changamkieni haraka sana, chuo kabla hakijajaa bado kozi 2 hujazitaja moja kuua na nyengine ush***i.
   
 20. BongoLogik

  BongoLogik JF-Expert Member

  #20
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  je mchaga wa rombo na mchaga wa machame wanaelewana lugha?
   
Loading...