Kwa uelewa wako ghorofa moja la bweni lenye ghorofa 4 na likiwa na vyumba kama tulivyoelezwa ni milioni 500, na ofisi ya tra yenye vyumba chini kumi ni milioni 1,400.
Ina haja gani kutaja hesabu ukijua haiko hivyo unataka upate nini na wewe ndiye baba. Acha utoto utakuwa ccm wewe maana hujui ndiyo na hapana kwako neno moja.
Ni kweli ktk kubana matumizi lkn kama kubana matumizi kwa kuwaongopea watu haisaidii kuhimizwa kazibi pamoja ba mapungufu yanaposemwa wazi watu wanaambiwa hatujafikia lengo. Sasa kila saa kuna pesa zipo kumbe hakuna tuombee hali ya ukweli irejee kwako na rafiki zako. Uongo siyo sifa njema si aheeri ukakaa kimia.
Watz mmelogwa nanani kupenda kusifia ubaya, ukimwambia mzee waki kwa kutumia njia sahihi inakuwa ubaya kuanzia leo jitambue