The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Paul Alex kweli hujaelimika kabisa halafu kweli ndiyo tukutegemee nchi hii kuibadili kwa kutudanganya kuwa Rais anaongea uwongo?
Usomi wenu huo wa kuwadanganya wanainchi ili mradi tu ufanikishe malengo hakukubaliki.
Rudi tena darasani ukasome upya ufahamu kuhusu hesabu na uchumi.
Aisee...hii kali kwelikweli!
Kwa hiyo ni nani mwongo sasa kwa mtazamo wako?
Rais wako ama mleta mada?
Wewe ndiyo hujaelimika... Hujui 10Bil ni za nini na 45 Bil ni za nini.Soma taarifa vizuri uzielewe.
Ajira 52,000 zipo na Rais Magufuli hajamaliza muda wake.
Hapa tena unathibitisha kuwa una tatizo ktk kufikiri kwako kichwani...
Mtetee Rais wako kwa facts.
Unamwambia mwenzako asome taarifa. Sijui taarifa kutoka wapi na kwa nani? Je una maana taarifa za kutoka kwa huyuhuyu mwongo? Mwaga wewe taarifa hizo hapa ili ulithibitishie jukwaa kuwa Rais wako si mwongo, vinginevyo kaa kimya, wasome wengine tu
Kwa kifupi tu ni kuwa, ni ngumu sana kwa mtu mwenye akili timamu kumtetea Magufuli na serikali yake, unless uamue kuuvaa ujinga na uwendawazimu kwa%....!!