Kiyoya
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,646
- 820
MI ni shabiki wa michezo katika somasoma gazeti la mwanaspoti la leo nikavutiwa na makala yenye kichwa cha habari HUU NI MWISHO WA MR BEAN-katika kipengele cha ANA UTAJIRI WA KUTISHA jamaa wameandika KWA UJUMLA ANAKADIRIWA KUWA NA UTAJIRI UNAOFIKIA PAUNI 100 MILION (SH 13.4 BILIONI ZA KENYA)
Sasa najiuliza hivi tunacopy magazeti Kenya kisha tunapaste maana naona hata kuedit tu leo wamesahau AU ni suala la hesabu tu.
Sasa najiuliza hivi tunacopy magazeti Kenya kisha tunapaste maana naona hata kuedit tu leo wamesahau AU ni suala la hesabu tu.