Hivi tunaagiza magazeti kenya

Kiyoya

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,646
820
MI ni shabiki wa michezo katika somasoma gazeti la mwanaspoti la leo nikavutiwa na makala yenye kichwa cha habari HUU NI MWISHO WA MR BEAN-katika kipengele cha ANA UTAJIRI WA KUTISHA jamaa wameandika KWA UJUMLA ANAKADIRIWA KUWA NA UTAJIRI UNAOFIKIA PAUNI 100 MILION (SH 13.4 BILIONI ZA KENYA)
Sasa najiuliza hivi tunacopy magazeti Kenya kisha tunapaste maana naona hata kuedit tu leo wamesahau AU ni suala la hesabu tu.
 
Ya mwana sport ndo wana hiyo Tabia, si unajua Wamiliki wametoka huko? so hata waandika makala ni wakenya na Price za Europe na USA zina convetiwa kwa Kenya Shilings,
 
MI ni shabiki wa michezo katika somasoma gazeti la mwanaspoti la leo nikavutiwa na makala yenye kichwa cha habari HUU NI MWISHO WA MR BEAN-katika kipengele cha ANA UTAJIRI WA KUTISHA jamaa wameandika KWA UJUMLA ANAKADIRIWA KUWA NA UTAJIRI UNAOFIKIA PAUNI 100 MILION (SH 13.4 BILIONI ZA KENYA)
Sasa najiuliza hivi tunacopy magazeti Kenya kisha tunapaste maana naona hata kuedit tu leo wamesahau AU ni suala la hesabu tu.

Mwanaspoti wanayo edition ya Kenya, huwa linachapwa na kuuzwa kwa ajili ya soko la Kenya baada ya mafanikio katika soko la TZA. Anglaia vizuri, labda ulinunua hilo!
 
wana version mpya itakayouzwa Kenya, nadhani nai hatua za kuelekea kuwa na magazeti yanayochapishwa kenya na kuletwa Tanzania.
 
Wamiliki ni wakenya wanachotakiwa kufanya wawe wanakadilia kwa pesa ya TZ kukadilia kwa pesa ya kenya hakuleti maana.
 
Back
Top Bottom