TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 12,046
- 12,542
Ona Bango zuri likiwa limebeba ujumbe mzuri kwa Mpendwa Steven Kanumba (R.I.P). Lakini cha ajabu kuna makosa ya kiuandishi na yenye kuonekana kwa urahisi.
Sasa swali langu, huyu mwandishi wa hili Bango hakufanya Proof Reading baada ya kumaliza kuandika?
Hao waliokuja kulichukua pia hawakufanya Proof reading kujiridhisha kuwa kila kitu kipo sawa?
Anyway, Labda wenyewe waliona ni makosa madogo sana kujishughulisha nayo.
Haya hili Gazeti nalo halikubaki nyuma.
View attachment 70638
Hivi ni kwamba tuna haraka sana? Manake hii hata kwa viongozi wetu imekuwa ni jambo la kawaida.