moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,928
Sasa mko 9800....waangalie ipi waaache ipi.Aisee watakua hawako fair sasa, maana mimi najiona kilaza hapa kwa kufeli pepa kumbe yawezekana siyo bana![]()
Sasa mko 9800....waangalie ipi waaache ipi.Aisee watakua hawako fair sasa, maana mimi najiona kilaza hapa kwa kufeli pepa kumbe yawezekana siyo bana![]()
kila kitu kinafanyika, ukiona hujaitwa Ukweli wa nafsi yako unahusika. Mara nyingi baada ya kutoka katika chumba cha mtihani mtihaniwa huwa anajua matokeo ya alichokifanya.Sasa mko 9800....waangalie ipi waaache ipi.