B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 495
- 375
Naomba kuuliza kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hili, hivi Usalama wa Taifa mwaka huu wameajiri?
Kwani utaratibu wao wa kuajiri unakuaje?
Sasa wewe umejuje, na wakati ni siri?Wameajiri tayari.
Utaratibu huwa ni siri.
Nowadays, there is nothing kiko under the carpet.
TISS tuanachukua vijana from JKT na sio mtaani.
ngoja na mimi niende JKT niajiriwe
Mwaka huu usalama hawajachukua watu kutoka JKT
Naomba kuuliza kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hili, hivi Usalama wa Taifa mwaka huu wameajiri?
Serious bab? Nimesikia wanabeba JKT
Ingieni JKT ila muwe na uchungu na nchi!
Naomba kuuliza kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hili, hivi Usalama wa Taifa mwaka huu wameajiri?