Hivi TISS Mwaka huu Wameajiri?

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
495
375
Naomba kuuliza kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hili, hivi Usalama wa Taifa mwaka huu wameajiri?
 
Nowadays, there is nothing kiko under the carpet.

TISS tuanachukua vijana from JKT na sio mtaani.
 
ngoja na mimi niende JKT niajiriwe

Tatizo lilopo.... Zamani kwenda JKT watu walikua hawataki.. You cant believe nowadays watu wanaonga pesa waende JKT. Sasa kumekua na dili, dio uzalendo tena.. JW wanachukua vijana JKT, TISS, Magereza na police wanachukua baadhi mtaani na baadhi JKT (ila mbeleni nadhani itakua full JKT), pia uhamiaji.. dahhh..


Ila kama wataka enda JKT jiandae, maana JWTZ wame graduate vijana week lililopita na wameshapangiwa vituo. Hivyo walio graduate JKT miezi kadhaa iliopita watapata nafasi za kuingia depo za JW na vikosi vingine, hivyo JKT nayo itabidi ijazwe na vijana from mtaani.
 
Kila idara ina utaratibu wake wa kuajiri,kwa idara nyeti kama hii sio lazima kuangalia mwaka mda wowote unaajiriwa kulingana na uhitaji na umuhimu kwa muda huo! Maelezo zaidi tafuta TISS ACT ndo mtailewa vizuri
 
Back
Top Bottom