The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,798
Mimi ni mtumiaji wa simu na mpenzi wa simu za samsung s series au note series.
Kuna hizi simu za tecno, naona watu wengi wanazo na wanatumia kuwasiliana, ila kama unavyojua hizi digital devices zinaweza kua mult purpose.
Ndio maana nauliza hizi tecno ni kamera au ni sim, yaani primary function zake ni nini, camera kwa ajili ya picha au sim kwa ajili ya mawasiliano.
Kama ni simu maana yake primary function zake ni mawasiliano na picha hua ni secondary, lakini naona matangazo yake ni more of pictures kuliko ubora katika mawasiliano.
Kila nikiona tangazo la tecno naona ni megapixel tu na mapicha, ndio maana nikashindwa kuewa hizi hua ni simu au camera zenye uwezo wa simu?
Kuuliza sio ujinga wakuu na aulizae anataka kufaham.