Sasa infinix ndio umemkimbiaje tecno?Mimi siwezi kudharau tecno. Simu yangu ya kwanza kununua kwa boom langu enzi hizo ni tecno P3....mpya kabisa. 145k enzi hizo.
Nikahamia Samsung
Kisha Samsung tena
Sasa hivi nipo Infinix ina mwezi tu.
Where did I say nimemkimbia tecno? Hivi huko shule mnaendaga kujifunza nini kama maelezo hayo madogo hujaelewa kitu hapo?Sasa infinix ndio umemkimbiaje tecno?
Ni cameraUnatakiwa ujiamn, hakuna aliedharau watumiaji wa tecno ila nimeuliza nieleweshwe, kwani kuuliza siku hizi hakuruhusiwi? Ukiuliza tu kufahamishwa ndio watu waseme umedharau.
Jambo la pili, hata samsung wana saa ambazo zinaweza kupiga na kupokea sim, kupiga picha na kufanya kazi zote za mawasiliano ila primary function yake ni kuonyesha wakati, functionalities za simu ni secondary,
Swali langu bado liko pale pale, tecno ni simu au camera?
Kuna radio pia za wachina zina simu, maana ikiita mlio wake subwoofer inasubiri.Acha ujuaji wa kijinga! Yaani unakiri kwamba unaona watu wakizitumia kwa mawasiliano alafu unauliza ni camera au ni simu?
Basi tukujibu kwamba ni camera za mawasiliano
Kuna radio pia za wachina zina simu, maana ikiita mlio wake subwoofer inasubiri.
Sent using Jamii Forums mobile app





