Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,937
Mambo ya mitandao bado Sana kwetu
Una uhakika hakuna? Tupe evidencehakuna bongo na kamwe hatuwezi
hakuna bongo na kamwe hatuwezi
nenda tcra ukashtaki umetapeliwa mtandaoni kama watamkamata mwizi ndo ujue hicho kitengo hakifanyi kazi mpaka umtukane raisiUna uhakika hakuna? Tupe evidence