palsa
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 1,345
- 1,712
Me tooKwa hacker yeyote professional naomba msaada wako, naomba unipm nashida
Me tooKwa hacker yeyote professional naomba msaada wako, naomba unipm nashida
Wapo wengi tu
Concern as TTCL data reportedly stolen by hackers - The Citizen https://t.co/e4TqwYbRWR
Hii taarifa mbona ya uongo asa.? TTCL wenyewe wamekanusha kua taarifa za report haziendani na uhalisia wa idadi ya wafanya kazi wake ambao data zao zimekua stolen...
NI WACHACHE HUKUBALI WAMEDUKILIWASasa ulitaka wakubali kirahisi kwamba wameibiwa Kanzi Data ili kiwe Kichochoro cha Wadukuzi kupiga pesa mara kwa mara? Sio mambo yote utaweza kuambiwa hadharani!
Hiyo ipo kwnye vipengele mojawapo vya hacking hiyo inaitwa social engineering
change kwenda .exe the uone
Reverse shellNini hii mkuu