Hivi tanzania kuna Hackers??

Hivi tanzania kuna Hackers??

Hakuna hackers kuna ushuzi tu. wameshindwa kuhack google na kuonyesha loopholes wajipatie mipesa, wanahack college sites eti
 
Hakuna hackers kuna ushuzi tu. wameshindwa kuhack google na kuonyesha loopholes wajipatie mipesa, wanahack college sites eti
Ndiyo mnapokosea wengi wenu mnafikiri kila mtu yuko after money!

Au mtu anapoamua kufanya kitu fulani ni sababu tu ya kutaka afaidike kwa mipesa mingi!

Hacking is not only about making a lot of money.
 
Wewe unafikiri kua hacker ni kujitangaza kwa watu ili ujulikane? TZ hackers wapo tu tena wametulia wanafanya yao kimya kimya sana sana kwenye taasisi kubwa kubwa na mabenk, na wahanga huwa wagumu kutangaza kilichowatokea....
 
Hacker wapo tena wamejazana jiloge siku uingie kwenye 18 zao ndio utaaamini
 
Back
Top Bottom