Hivi tanzania hakuna taasisi za haki za binadamu?

kluger

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,093
1,894
Salaam,

Hapo jana palisambaa mitandaoni taarifa ya Marekani kupitia waziri wao wa mambo ya, Pompeo kumzui Rc Makonda na mkewe kuingia katika taifa hilo, kutoka na kuwa na ushahidi wa vitendo vinavyokiuka haki za binadamu.

Inashangaza mpka sasa hakuna tamko lolote toka taasisi za ndani zonazojihusisha na mambo hayo ya haki za binadamu.

Je taarifa ya RC Makonda kufungiwa wao haiwahusu? Je wana maoni gani katika hilo?

Nawakilisha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado tutaendelea kutegemea nchi za nje kwa kila kitu hadi kwa masuala ya ndani ya nchi yetu, hata kutoa haki kati yetu?!
 
Back
Top Bottom