Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,147
- 2,513
mwenye majibu
Ebwana kiongozi hao jamaa wanaajiri coz kuna my friend of mine watoto wakulima wenzangu ambao nilisoma nao wako wanafanya kazi huko sema its takes time sana kutoka kutangaza kazi mpk,kupata kazi kama ujuavyo haya mashirika mfano tbs post ilitangazwa,mwez wa nne wameita for interview july inakatishaga tamaa sana