nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,273
- 3,750
Nakumbuka enzi bado niko mdogo ilikuwa ni marufuku kwa mtu yeyote kuongea wakati wa chakula isipokuwa baba a.k.a dingi. Halafu unakuta kamlango kanasogezwa kidogo kama kanataka kufungwa hivi. Ukienda kwa jilani unapiga hodi ukasikia kimya ujue watu wanafinya vitu. Je hivi hii kitu bado inaexist?